Nilihukumiwa kwa kumpa mimba mwanafunzi ila nimeumia kwa hiki kilichotokea

ZOPPA

JF-Expert Member
Jan 20, 2017
2,691
2,787
Habari za sahizi wanajamvi mnamo mwaka 2011 nilikutwa na hatiya ya kumpa mimba mwanafunzi wa kidato cha nne nikahukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa mujibu wa mahakama walivyo hamua shauri hilo nilienda jela
Kutumikia kifungo hicho ila baada ya miaka sita wazazi wangu walienda kwa mtahalamu nazani mmeherewa (walienda kwa mganga) nikifanikiwa kuachiwa kwa mazingila ya kutatanisha sana na kuludi uraiyani ila sasa kilicho niuma nikamkuta yule binti anaishi na mwanaume mwingine na nilipo fanya uchunguzi ndio mwnye yule mtoto na amefanana nae sula na kila kitu sasa cha kushangaza zaidi nilipo enda kumdai mtoto wangu nilicho jibiwa na yule mwanamke pamoja na wazazi wa mwanamke kuwa yule mtoto sio wa wa kwangu wala sina haki yangu pale pia kauli walio sema wazazi wa mwanamke mimi nilikuwa chambo tuu kwa sababu sina kitu(kapuku)

je kisheria ipoje naombeni msaada watahalamu wa sheria

Asanteni sana mawazo yenu yanaitajika
 
Mle 0713 huyo binti Mme wake ikiwezekana na wazazi wake!
 
Kuna wasiojulikana mkuu hebu wacheki fasta, huyo mwanamke na mwanaume ningekuwa mimi na lala nao mbele very secretly siwaachi ng'o
 
Dawa ni kulipa kisasi kwa kukodi wale jamaa "wasiojulikana" ili kesho huyo demu na jamaa yake waokotwe wakiwa kwenye mifuko ila ikishindikana waroge tu.!
hii njia ya pili nahisi inamfaa maana kama kaweza kuroga akatoka jela atashindwaje kuwafanya misukule huyo demu na jamaa yake.
 
rahisi sana
tafuta hela broooo
unajua mimi ndo maana nasema siku hizi wamebaki vijana, wanaume tuliishi miaka ya 90.
umekwenda jea, na umekaa miaka 6 kisa mimba ya mwanafunzi, na umeambiwa ni kwasababu wewe kapuku, halafu unakuja kuoma ushauri ufanyeje?? seriously!!! this is pathetic and stupid of course.
anyways, nisamehe tu 7 mara 70. lakini nafikiri unapaswa kufungwa tena maana you learned nothing
 
Sasa si umetoka kwa magumashi ya miziziology?huoni huo ni utata ukizua varangati watu watahoji umetokaje,gafla 30x2=?
 
Back
Top Bottom