Daraja2
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 249
- 295
Salaam,
Ndugu zangu kwa uelewa wangu mdogo ninajua kuwa mtoto ni chini ya miaka 18 kwa hapa Tanzania.
----Mzazi wa kiume ( baba) anapaswa kumuhudumia mtoto wake mahitaji yake yote muhimu (malazi,mavazi na chakula) kwa 100%
Swali kwa wabobezi wa sheria Tz naomba ufafanuzi je, "mtu kujitokeza akiwa na miaka 31 pia akiwa ni mke wa mtu kudai matunzo kwa baba yake mzazi ni sahihi kisheria !?