Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

  • Redirect
Wakuu, Nafahamu yamekuwepo mapendekezo mengi kuhusu mabadiliko ya Katiba ya JMT. Hata hivyo, mapendekezo yangu (ambayo naamini yamekwishatolewa mara kadhaa) ni kwamba, kipengele kinachompa kinga...
0 Reactions
Replies
Views
nafahamu kwamba nitakacho kisema hapa huenda ikawa c mahali pake, lakini kutokana na kuona kwamba upande huu una wadau wengi basi ache niseme kinachonisumbua. ni hvi sisi wanafunzi tuliojiunga na...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
  • Closed
The Ethics Committee of the Media Council of Tanzania (MCT) will arbitrate three complaints including complaints filed by former Prime Minister Edward Lowassa versus Dira ya Mtanzania newspaper...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani habari zenu wanajamii, Hivi jamani hizi stika za fire ni kwa ajili ya usalama wa magari au ni biashara?mbona magari ya serikali hayana stika na hayakaguliwi.Haya hayawezi kuungua moto...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mtikila kutinga kortini posho za wabunge Send to a friend Thursday, 02 February 2012 21:32 0digg Hussein Issa, KITENDO cha wabunge kujiongezea posho kutoka Sh70,000 hadi Sh200,000 bila...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Wanajamii nimejaribu kutembelea website ya Law school of Tanzania ghafla nakutana na message inasema "Hacked by Tanzanian Cyber Army" jamani kuna interest gani hapo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
NIlinunua gari kutoka kampuni ya Budget Holdings ya Japan, nikafanya malipo mwezi wa sita, hadi sasa hawajaweza kunitumia gari, nilipoona wameshinda kununua gari lile nililotaka, nikawaambia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeuamuru upande wa mashtaka kuharakisha upelelezi wa kesi inayowakabili wafanyabiashara wanane wa jijini Dar es Salaam, akiwemo nguli wa biashara ya dawa za...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kutoka taarifaya habari ya ITV jana jioni, mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja amepelekwa na wazazi wake kwa mgaliba kisha akakeketwa na ngaliba kalipwa sh. 2000. MAONI : elimu ya kuielimisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anaonekana Ana Kilango peke yake, je wabunge wamefanya mgomo kuhudhuria vikao? Pesa zote wanazodai kulipwa ni kwa ajili ya nini kama hawawajibiki katika kuwawakilisha waliowachagua? Hii imetokea...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wanajamii! Kama kuna mtu ana nakala ya hukumu ya mahakama ya rufaa na. 240 ya 2004(unreported) ya RASHID ALLY MTILIGA and 2 others Vs. R tafadhali, tuwekee humu jamvini tuivinjari.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya miaka mingi ya mfumo wa vyama vya wafanyakazi kuonekana kushindwa kabisa kutetea maslahi ya wafanyakazi wa kada mbali mbali hususan katika kipindi hikli cha mfumuko mkubwa wa bei; hivi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hallo everybody i have a question. seriously i have no idea what a police recruit goes through during the academy in our country (Tanzania). is there anyone out there who could help me. i want...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi sio mwanasheria ila natakakujua kisheria kuwa Mwanaume na mwanamke wako sawa? na je wanahaki sawa? Maana kwangu mimi imekuwa kero kubwa sana maana kila wakati nasikia haki sawa haki sawa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
naombeni nisaidieni jinsi ya kumfukuza huyu mtu'mpangaji mwenzangu'yeye anajiona ni mwislam mtakatifu na imepelekea agombane na watu wanaoishi naye'jana chupuchupu kuzichapa na mimi baada ya...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Imekuwa ni jambo la kawaida mzazi kukamatwa,kutozwa faini au hata kifungo kwa sababu tu eti mtoto wake wa kike {mwanafunzi}kapewa mimba,au mtoto wa kiume katia mimba.tusiojua sheria tunashindwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu WanaJukwaa, Naomba mtu mwenye Ruling ya Electronic (Video Conference) Evidence iliyotolewa wakati wa Kesi ya Prof Ricky Costa Mahalu kabla ya Shahidi toka Italia kuja kutoa ushahidi wake...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa kisheria kumchukua mtoto wangu toka kwa mama yake. Kuna mwanamke nimezaa nae mtoto mmoja, nilikua nampa matumizi yote ya muhimu pamoja na hela ya kula na kuvaa mtoto na yeye...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
natafuta sheria inayoamuru transfer of Company's property iwe published kwenye govenment gazette!!
0 Reactions
0 Replies
693 Views
naomba mnisaidie ktk hili pamoja na vifungu husika
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Back
Top Bottom