Wabunge wamegoma kuhudhuria vikao Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wamegoma kuhudhuria vikao Dodoma

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Candid Scope, Feb 2, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Anaonekana Ana Kilango peke yake, je wabunge wamefanya mgomo kuhudhuria vikao? Pesa zote wanazodai kulipwa ni kwa ajili ya nini kama hawawajibiki katika kuwawakilisha waliowachagua? Hii imetokea February 1, 2012 Dodoma kwenye kikao cha bunge kinachoendelea.
   
 2. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hivi ubunge ni kazi ya wito ama?
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama ni kazi ya wito, wapo kuhudhuria tu ili wajaze mifuko, vinginevyo viti visingebaki vitupu.
   
 4. N

  Njele JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ili kurejesha nidhamu bungeni Mama Makinda anatakiwa kuwachapa viboko akina Sita waisiohudhuria vikao hadi wanashika adabu.
   
 5. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Wako site wanasimamia ujenzi..
   
 6. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Ni shortcut ya kupata utajiri.
   
 7. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,445
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  ...Hata yeye yuko kimwili tu..........naona anamwaza Jumanne Malecela........walikuaga wotege mjengoni................
   
 8. M

  Makupa JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu mbunge akishatia saini kitabu cha mahudhurio haitajai kuwepo ukumbini muda wote ila mshiko uko pale pale, sioni tofauti ya mbunge kutokowepo na wale wanaochapa usingizi, hii aibu tunakuomba mheshimiw Rais wetu mpendwa JK aingilia kati hili bunge sasa ni mzigo kwa watanzania na serikali kwaujumla. Matatizo yote yanayolikabili taifamengi yamesababishwa na bunge letu lililojaa mipasho.
   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hivi kama hawapo bungeni watakuwa mitaani au watakuwa wapi''nashindwa kuelewa
   
 10. c

  chief 1 JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Heh teh teh....!!! Hapo umenena mkuu!
   
 11. K

  KIMALIKE Member

  #11
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ivi sasa watakua wapi manake majimboni kwao ndio awagusi kabisa mpaka uchaguzi ujao kuomba kula,
   
 12. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  wanatumika kwenye vyumba vyao!!!!:poa
   
 13. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #13
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aaa wamegoma eee.
  Watangaze mgomo ili wanajeshi wakawaliplace
   
 14. J

  J.Mindu Member

  #14
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo ni kukosa uzalendo wala sio kweli kuwa hawajui kuwa kazi ya bunge ni wito, kibaya zaidi Taifani/Afrika hatujaigundua elimu hiyo. Sasas mimi naomba kushika mkono ili niibue elimu hiyo na kutegua kitendawili cha kinachoitafuna Afrika si Tanzania tu, yakiwemo mapinduzi ya madaraka dhidi ya mamlaka, ni tayari kuonana na yeyote kwa mahojiano ili tuliokoe Taifa na Bara letu. kwa J4mindu@gmail.com
   
 15. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  MMMMMMMMM!!!!!!!!!!!!

  NDUGU HILI NI BUNGE LA NCHI GANI????

  MBONA JANA KUNA HOJA ZILIJADILIWA, JE WAILJADILI WAKIWA KWENYE VYUMBANI VYAO???????

  AU UILIPIGA PICHA SAA 12:00 ASUBUHI MUDA AMBAO BADO KUFUNGUA MILANGO YA BUNGE???

  TUSITEGANE HAPA NA HABARI ZA ULONGO!!!

  ANGALIA HII....

  Habari za Bunge

  ‘Wafungwa wanarukishwa kichura gerezani bila nguo’
  Imeandikwa na Mwandishi wetu, Dodoma; Tarehe: 1st February 2012 @ 14:05 Imesomwa na watu: 100; Jumla ya maoni: 0

  Habari Zaidi:

  ‘Wafungwa wanarukishwa kichura gerezani bila nguo’
  MBUNGE wa Viti Maalumu, Magdalena Sakaya (CUF), amethibitisha mbele ya Bunge kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji akiwa gerezani na kutaka Serikali kuwachukulia hatua wahusika wa vitendo hivyo.

  Alisema bungeni hapo kuwa kumekuwapo na vitendo vya wafungwa na mahabusu wa kike kuvuliwa nguo zote na kisha kurushwa kichura chura jambo ambalo ni udhalilishaji mkubwa.

  Sakaya aliyasema hayo bungeni jana katika swali lake la nyongeza ambapo alisisitiza kuwa yeye ni shahidi namba moja wa matukio ya udhalilishaji gerezani na iwapo Serikali inataka kumtumia yuko tayari kuthibitisha.

  “Ninachojua mimi mfungwa anapoingia gerezani haondolewi haki zake za binadamu, mimi ni shahidi namba moja wa matukio haya, kila siku wafungwa wanavuliwa nguo zote hadi ya mwisho na askari wenzao wa kike huu ni udhalilishaji mkubwa,” alisema Sakaya.

  Awali katika swali lake la msingi Mbunge wa Viti Maalumu, Mhonga Ruwanywa (Chadema), alitaka kufahamu Serikali itawachukulia adhabu gani polisi wa magereza wanaodhalilisha wafungwa wanawake.

  Katika swali lake hilo, alisema kumekuwapo na matukio ya ukatili na uvunjwaji wa haki za binadamu katika magereza nchini likiwamo Gereza la Bangwe katika Manispaa ya Kigoma ambapo alianisha udhalilishaji huo kuwa ni kuvuliwa nguo zote na kuruka kichurachura.

  Akijibu maswali hayo yote, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Hamis Kagasheki alisema suala hilo la kushtua ndio kwanza Serikali inalisikia kutoka kwa wabunge hao ambapo ilianza kufuatilia katika Gereza la Bangwe, lakini ilishindwa kupata ushahidi.  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 16. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Wabunge wanakawaida ya kuingia asubuhi kuweka sahihi ya mahudhurio kisha wanasepa kwenye mambo yao. Hii picha ni katika moja ya vikao vya siku hiyo sehemu hiyo anaonekana huyu mama peke yake. Labda unajenga utetezi wako huenda we ni mmojawapo wa wabunge walioacha kiti wazi katika kkao hicho.
   
 17. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  KUNA COMPUTER kali siku hizi labda mpiga picha ka-edit , kama ni kweli inabidi hata 70 ipunguzwe hadi 40
   
 18. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Perfect answer
   
 19. N

  Njele JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Kweli tupu, wabunge wengi wanaingia jamii forums, na wanaopinga hoja hii ndio wanaoachia viti wazi wako kwanye mahoteli, mabaa na kwenye starehe nyingine wakai vikao vinaendelea wakijua posho zinaingia. Umeona wanavyotetea kwa nguvu zote kuhusu posho bila haya wakati jamii ya watanzania ipo kinyume na posho hizo.
   
 20. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,674
  Trophy Points: 280
  Ilikuwa nikubonyezee LIKE lakini hapo penye bold pamenichefua!!!
   
Loading...