Mtoto wa mwaka mmoja akeketwa, ngaliba alipwa BUKU MBILI

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Kutoka taarifaya habari ya ITV jana jioni, mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja amepelekwa na wazazi wake kwa mgaliba kisha akakeketwa na ngaliba kalipwa sh. 2000. MAONI : elimu ya kuielimisha jamii kuwa kukeketa si jambo zuri isambazwe kwa jamii.
 
Back
Top Bottom