Mpangaji mkorofi, tutamfukuzaje?

Status
Not open for further replies.

Delegate

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
331
201
naombeni nisaidieni jinsi ya kumfukuza huyu mtu'mpangaji mwenzangu'yeye anajiona ni mwislam mtakatifu na imepelekea agombane na watu wanaoishi naye'jana chupuchupu kuzichapa na mimi baada ya mwenye nyumba kumshutumu anatumia umeme vibaya'basi mimi nikamwendea na kumwambia kwa nia ya kubana matumizi ya umeme'alinijia juu kinoma akidai hanijui wala hanitambui na kuanzia sasa sitakaa nikuheshimu tena'nilishangaa sana kwa sababu ilikuwa ni issue ndogo lakini ilifika mbali huku akionyesha dalili za kutaka kupigana na mimi'siku za nyuma keshapigana na wwatu wawili tofauti kwa sababu ya mambo ya kijinga'yeye ni fundi machanical keshafukuzwa garage kwa sababu ya ujuaji na maneno mengi'jamani nisaidieni nimwondoeje hapa maana wote tumepanga na jamaa hajui kuishi na watu'nifanyeje ili ahame huyu mwislam???
 
hamia kwa mkiristo mwenzio mupige lager na kitimoto chenu bila ya kusumbuliwa na mumuwache muislam na maisha yake
 
huyu mtafutie kiti moto halafu kichome karibu na mlango wake atahama siku hiyo hiyo
 
We mwenyewe mgomvi kwani nyumba ni hiyo tu wewe ngangania hapo lazima atakulipuwa huyo Kama unapenda maisha yako hama wewe
 
naombeni nisaidieni jinsi ya kumfukuza huyu mtu'mpangaji mwenzangu'yeye anajiona ni mwislam mtakatifu na imepelekea agombane na watu wanaoishi naye'jana chupuchupu kuzichapa na mimi baada ya mwenye nyumba kumshutumu anatumia umeme vibaya'basi mimi nikamwendea na kumwambia kwa nia ya kubana matumizi ya umeme'alinijia juu kinoma akidai hanijui wala hanitambui na kuanzia sasa sitakaa nikuheshimu tena'nilishangaa sana kwa sababu ilikuwa ni issue ndogo lakini ilifika mbali huku akionyesha dalili za kutaka kupigana na mimi'siku za nyuma keshapigana na wwatu wawili tofauti kwa sababu ya mambo ya kijinga'yeye ni fundi machanical keshafukuzwa garage kwa sababu ya ujuaji na maneno mengi'jamani nisaidieni nimwondoeje hapa maana wote tumepanga na jamaa hajui kuishi na watu'nifanyeje ili ahame huyu mwislam???

kwani we ni dini gani?!
 
Kwa heshima naomba uedit maelezo yako UKOROFI WAKE USIUHUSISHE NA UISLAMU WAKE unless labda kama unachuki na waislamu
 
Hamia CDM! Mbege kitimoto 24/7

Mi ni CCM... Ila kuhusianisha vyama na udini ni jambo la kuona kabisa unahitaji kupewa pole..
Chama kilichowahi kuukana udini wakati mikutano yake hapa bara ilijibainisha hivyo ilikuwa ni CUF.. Wanawake wanafunga vilemba na wanajitenga na wanaume,mikutanoni...
Jadili mada bila kuchanganya vyama...
 
dawa ni kwenda kanisani, kuomba chumba kimoja na kukaa. maana inaonekana unahasira na waislam. lkn jihadhari sana, usimtolee ukali mara atakupiga ngeo utoke meno ushindwe kula kitimoto
 
Kwa heshima naomba uedit maelezo yako UKOROFI WAKE USIUHUSISHE NA UISLAMU WAKE unless labda kama unachuki na waislamu

angel.. Mi nadhani nina tatizo... Siamini kabisa katika karne hii tunaweza kujiridhisha kuwa matatizo yetu yanasababishwa na dini! Mi nadhani ni kwa kutokuwa na elimu ya kutosha...
 
Mi ni CCM... Ila kuhusianisha vyama na udini ni jambo la kuona kabisa unahitaji kupewa pole..
Chama kilichowahi kuukana udini wakati mikutano yake hapa bara ilijibainisha hivyo ilikuwa ni CUF.. Wanawake wanafunga vilemba na wanajitenga na wanaume,mikutanoni...
Jadili mada bila kuchanganya vyama...

Wewe sio mzima. Mimi sijataja DINI wala Ukristo kwenye post yangu! Hayo ni mawazo yako tu!
 
dawa ni kwenda kanisani, kuomba chumba kimoja na kukaa. maana inaonekana unahasira na waislam. lkn jihadhari sana, usimtolee ukali mara atakupiga ngeo utoke meno ushindwe kula kitimoto

Mbona kitimoto sio kitambulisho cha Ukristo?!
Wako wa dini hiyo wengi wasiokula na hawachukuliwi hatua na viongozi wa dini yao..
 
dawa ni kwenda kanisani, kuomba chumba kimoja na kukaa. maana inaonekana unahasira na waislam. lkn jihadhari sana, usimtolee ukali mara atakupiga ngeo utoke meno ushindwe kula kitimoto

ina maana sikuhizi kanisani wanapangisha chumba!? Kama hauna cha kuongea bora ukae kimya!
 
hii post ni ya kidini zaid, maana hapa kwetu zanzibar wakiristo hatuwakodishi vyumba kiurahisi, maana wanakejeli sana uislam
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom