Hii mashine nimeiona huko mitandaoni imenivutia, kwanza unapata juice halisi kabisa, maana haisagi inakamua, na kukusanya makapi sehemu yake.
Kama kuna mtu anatumia kifaa kama hiki anaweza kuja...
Miaka ya 90 Kijijini Sengerema tulikuwa na kawaida ya kwenda kuwasalimia na kuwapa hai wazee, tukifunga shule basi kesho yake asubuhi ni safari kwenda kijijini kusalimia, na kuishi kidogo na Babu...
Nguruwe ndiyo nyama inayoliwa zaidi duniani, ikichangia asilimia 36 ya matumizi ya nyama duniani kote.
Inayofuata kwa karibu ni kuku (asilimia 33), ikifuatiwa na nyama ya ng’ombe kwa asilimia 24...
Hello mliomba nipike biriani hili hapa saa sita tu lishaiva linasubiri walaji mje
Kwanza niliandaa mchele kisha nikauloweka kwa mda wakati nyama inaiva mchele huu ni ule wa basmati baada ya hapo...
Mei 21 kila mwaka ni siku ya kuadhimisha Chai duniani. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali kuna aina 19 za chai. Wewe unafahamu aina ngapi?
Different Types of Tea
Discover different kinds of tea...
Wapishi na wapenda mapishi, naomba msaada wenu!
Ni viungo gani mbalimbali vinavyotumika katika kupika mboga ili kuzifanya ziwe na ladha nzuri?
Maana ni mwezi sasa tangu nitoke home naona mapishi...
Ni vema MAKANDE chakula kikuu cha Wapare yakatambuliwa kana chakula pendwa kiafya cha Taifa la Tanganyika kwa sababu zilizo wazi kabisa kuanzia wepesi wa pishi lake mpaka faida nyingi za kiafya
Wana maakuli kwema?
Moja kwa moja kwenye mada, mazee kila mtu ana msosi anaopenda ambao akiukuta kwenye sherehe mambo yanakuwa byee. Nikianza na mimi, bwana sherehe bila pilau nyama na...
MAHITAJI
(kwa mahitaji haya utatoa zaidi ya pisi 200 za barafu ukitumia vifuko vya size 1¼ X 10)
Maji lita 7
Maziwa ya unga 1 cup (brand yoyote)
Unga wa wanga (corn starch) 2 cups uchanganye na...
Wakuu,
Ni kifaa kipi kati ya hivyo kinafaa kwa kuchoma nyama, kuchoma kuku mzima, kukaanga chips na kupasha chakula?
Nahitaji kifaa kimoja cha kufanya kazi hizo zote kwa ubora mzuri, nichukue...
Nawasilimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naomba kujuzwa unapotaka kupika nyama yako (mfano; ya ng'ombe au Kuku) ni viungo vipi ukichanganya wakati wa kuchemsha nyama hiyo itaifanya...
Leo Jumapili niliamka nikiwa nina hamu sana ya kula chapati za maji.
Ila leo nikasema kwa kuwa nina muda wa kukaa jikoni, ngoja leo nijikumbushe enzi zangu.
Mahitaji na viambaupishi:
-Unga wa...
Hello
Kesho nafikiri tupike pamoja JF hapa hatua kwa hatu ratiba yetu itakuwa hivi
Morng
Saa moja na nusu tutaanda chai ambapo kutakuwa na bagia za dengu na maziwa
Mahitaji ya bagia
1) unga wa...
1. Asilimia kubwa ya wa Tanzania ( wa Bantu) Hawajui kupika. The only thing that they can cook better is hot water. Watanzania wanao we za kupika vizuri ni wasomali. Ndo maana kila siku huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.