Bokoboko

Bokoboko

Mkwaja

Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
35
Reaction score
3
Niliwahi kula mlo huo ni chakula kitamu sana. Naomba ajuae kupika bokoboko anifundishe kupitia hapa jf chef.
 
Ingredients:
Ngano kikombe
Vitunguu maji
Thomu
Uzile
Nyama au kuku uwezo wako
Chumvi

Roweka ngano zako kidogo km kikombe kwa masaa yasiyopungua 12
Chemsha nyama au kuku wako na kuweka supu pembeni ili ujekuchemchia ngano zako(supu isiwe kidogo na uicgemshe kwa kutumia viungo vyote muhimu vya kuleta ladha ya supu ). Angalizo...hio nyama au kuku iive sana ili hata km huna processor uweze kuichambua kwa mkono ndogo ndogo au hata kuitwanga na kinu kidogo.
Grate kitunguu maji km kikubwa kimoja au viwili vya size ya kawaida weka pembeni.
Injika ngano ulizoroweka kwenye moto mdogo mdogo na ile supu.
Koroga taratibu hakikisha sufuria yako ni kubwa kiasi na nzito sababu hizi huvimba sana na pia zinagandia km sufuria ni nyepesi na imetumika sana.
Usiache zikauke sana ukiona supu uliyoweka haitoshi weka maji kiasi kidogo huku ukiendelea kukoroga, fanya hivyo hadi ukiona zimewiva vizuri.
Weka mafuta au samli(napendelea samli) kwenye frying pan yakipata weka kile kitunguu maji ,thomu na uzile wacha kwa dkk hadi 2 ila usiache kiungue.
Epua ukamimine kwenye ngano zako ulizopika pamoja na ile nyama yako uliotwanga.
Koroga vizur epua. Bokoboko tayar kwa kuliwa.
 
Pole picha haiko vizur sana
 
Attachments

  • 1422793977863.jpg
    1422793977863.jpg
    20.6 KB · Views: 335

Asante sana Mrs Kharusy
 
Inabidi siku moja unialike ukilipika hili. Umenikumbusha kuna Eid nilikuwa Oman, wenyeji wangu wakanipelka "bilad". Nilikula boko boko tamu hilo, Ma sha Allah.
 
In sha Allah sister. Siku ukifanya matembez pembezoni mwa bahari tuambizane tu in sha Allah.
 
Ingredients:
Ngano kikombe
Vitunguu maji
Thomu
Uzile
Nyama au kuku uwezo wako
Chumvi

Roweka ngano zako kidogo km kikombe kwa masaa yasiyopungua 12
Chemsha nyama au kuku wako na kuweka supu pembeni ili ujekuchemchia ngano zako(supu isiwe kidogo na uicgemshe kwa kutumia viungo vyote muhimu vya kuleta ladha ya supu ). Angalizo...hio nyama au kuku iive sana ili hata km huna processor uweze kuichambua kwa mkono ndogo ndogo au hata kuitwanga na kinu kidogo.
Grate kitunguu maji km kikubwa kimoja au viwili vya size ya kawaida weka pembeni.
Injika ngano ulizoroweka kwenye moto mdogo mdogo na ile supu.
Koroga taratibu hakikisha sufuria yako ni kubwa kiasi na nzito sababu hizi huvimba sana na pia zinagandia km sufuria ni nyepesi na imetumika sana.
Usiache zikauke sana ukiona supu uliyoweka haitoshi weka maji kiasi kidogo huku ukiendelea kukoroga, fanya hivyo hadi ukiona zimewiva vizuri.
Weka mafuta au samli(napendelea samli) kwenye frying pan yakipata weka kile kitunguu maji ,thomu na uzile wacha kwa dkk hadi 2 ila usiache kiungue.
Epua ukamimine kwenye ngano zako ulizopika pamoja na ile nyama yako uliotwanga.
Koroga vizur epua. Bokoboko tayar kwa kuliwa.

tamu sana mimate hatari sana..
 
Na hilo jengine. Picha ipo ndogo lkn
 
Attachments

  • 1423100137283.jpg
    1423100137283.jpg
    4.7 KB · Views: 321

Similar Discussions

Back
Top Bottom