Je, kuweka Limao kwenye maziwa ili yagande mapema kuna athari yoyote kitaalam?

Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,299
1,201
Mara nyingi, nimekuwa nikitia limao katika maziwa ili kuyafanya yagande papo kwa papo.

Je, hii haina athari ki afya, au kupunguza virutubisho pengine ndani ya maziwa?

Karibu sana kwa mchango na uzoefu wako katika hili.

#jr
 
Kama unaweka na yana ganda kwa wakati hakuna malalamiko ya wateja zako basi jua hakuna madhara.
Ila siku ti efu dii ei ikiinvilia kati ndo utajua
 
Kama unaweka na yana ganda kwa wakati hakuna malalamiko ya wateja zako basi jua hakuna madhara.

Ila siku ti efu dii ei ikiingilia kati ndo utajua.
 
Kama juma moja limepita hivi nimenunua maziwa fresh shekilango Ubungo, nikarudi nyumbani nikayatia ndani ya jokofu. Kesho yake nikayachemsha kiasi yale maziwa nikayatia na kahawa ya kipakti. Nikiwa nakunywa nikawa nasikia harufu mbaya na ladha mbovu. Ila kwa kuwa nilikuwa nimemiss ghahawa nikanywa kiroho ngumu.

Yale maziwa yalikuwa mabaya sana basi nikawaza yatakuwa yanataka kuganda ngoja niyagandishe. Leo bi Mkubwa akiwa anapika uji wa ulezi akasema ngoja niyafungue niweke kwenye uji. Aisee ndani ya lile kopo la maziwa kulikuwa na funza wengi sana. Yani kila nikiona maziwa nahisi kutapika.

Kuweni makini sana na namna hizi hawa watu wanagandisha maziwa. Pia usipende kunywa maziwa kama hayajachemshwa, inawezekana ukiona wanavyokamua hutoweza kuyanywa.
 
Kama juma moja limepita hivi nimenunua maziwa fresh shekilango Ubungo, nikarudi nyumbani nikayatia ndani ya jokofu. Kesho yake nikayachemsha kiasi yale maziwa nikayatia na kahawa ya kipakti. Nikiwa nakunywa nikawa nasikia harufu mbaya na ladha mbovu. Ila kwa kuwa nilikuwa nimemiss ghahawa nikanywa kiroho ngumu...
Mkuu ,Ahsante kwa ushauri.
 
Katika vitu ninavyoogopa maishan ...ni kununua maziwa.....anyway labda kwa vle mm mwnyw ni mfugaji
 
Hivi wanaouziwa maziwa kwenye kopo la maji ya kunywa huwa akilini mwao wanawaza kuwa muuzaji alinunua maji akamwaga halafu kopo akauzia maziwa au alikunywa maji halafu ndio akawekea maziwa?

Siwezi nunua hizo zagazaga. Mara mia nije na kibebei changu
 
Hivi wanaouziwa maziwa kwenye kopo la maji ya kunywa huwa akilini mwao wanawaza kuwa muuzaji alinunua maji akamwaga halafu kopo akauzia maziwa au alikunywa maji halafu ndio akawekea maziwa?

Siwezi nunua hizo zagazaga. Mara mia nije na kibebei changu
hahahha ,kwamba alinunua maji halafu akamwaga😂😂😂 kwa pesa ipi waliyonayo?? Makopo yanaokotwa majalalani then wanayasuuza na maji..ova🤔🤔
 
Fungua pdf hii kusoma kuhusu usindikaji bora wa maziwa kwa wadau wa mazao ya maziwa.
 

Attachments

  • USINDIKAJI BORA WA MAZIWA.pdf
    1.6 MB · Views: 38
Back
Top Bottom