Wanaume tunaojua mapishi tukutane hapa

Wanaume tunaojua mapishi tukutane hapa

Napenda kupika sana nikishindaga home lazima nipike vitamu mahanjumati na nipo vizuri, mwanamke atakaeolewa na mim kama hajui mapishi atapata tabu sana.
Mimi mahiri wa kupika
Uji
Chai
Makande
Munde sijui hapa ni sehemu sahihi?
 
Wengi kupika wanaweza tu ila kesi iko kwenye hivyo vyombo ukishashiba tu unasema badae au kesho naviosha ndo imetoka hiyo, Mimi navizia mama mabula akiosha vyake nasogeza vyakwangu kesi inaishia hapo.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom