Leo natamani kula vitu vifuatavyo

Leo natamani kula vitu vifuatavyo

murthehelp

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
181
Reaction score
155
Wali nyama ya kuku wa kienyeji alierostiwa. Nahitaji pia nyama ya Mbuzi aliochomwa, ndizi za kisamunyu za kupikwa. Maziwa fresh, na pia maharage yasikosekane.

Anaeweza andaa na kuhakikisha chakula kinakua kitamu anaweza fanya hivo. Idadi ya watu watakao kula chakula hiki ni watu 10. Naomba anaeweza aandae viungo na mahitaji yake aniambie humu humu nimpatie cash.
 
Kama chakula simple tu, ndani kwako hawawezi kuandaa mbona vitu vya kawaida Sana hivyo kupika, mpaka utafute mpishi Kama Kuna party ya watu wengi.
 
Sijajua lengo la huu uzi ni kutafuta mpishi au unataka uwatoe udenda watu kwa kuona leo utakula vyakula vya maana sana?
Wali nyama ya kuku wa kienyeji alierostiwa. Nahitaji pia nyama ya Mbuzi aliochomwa, ndizi za kisamunyu za kupikwa. Maziwa fresh, na pia maharage yasikosekane.

Anaeweza andaa na kuhakikisha chakula kinakua kitamu anaweza fanya hivo. Idadi ya watu watakao kula chakula hiki ni watu 10. Naomba anaeweza aandae viungo na mahitaji yake aniambie humu humu nimpatie cash.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom