1.Kiburi si muungwana,kukaidi ya mabwana!
unduli si karama,kuutupa ushauri mwanana,
sifuri si kazi sana,kuipata huitaji chutama!.
Moyo umeniweza!
2.nisemayo yaakili,nitendayo sifikiri!
umeitia...
Wapo wanaoamini eti kuna maneno au vitu vya kitaalamu ambavyo kwa kiswahili havina maana.
kwanza hao ni wale wavivu sana wa kufikiri,kujifunza na kuwaza.
jiulize je 'television' ilikuwepo kabla ya...
ABUNWASI NA NCHI YA KUSADIKIKA
Abunwasi anaaminika na wafuasi wake ni "msomi bora kabisa kuliko wasomi wengine katika fani ile" ila hajajitambua kwamba sheria ni ile ile katika nchi ya...
NAKUJA KUOA KENYA
1)Acha niseme ukweli,nitue huu mzigo
Naende kuoa mbali,huku nakupa kidogo
Nawabwaga chini chalk,nashusha yangu mapigo
Nakuja kuoa Kenya,wabongo wamenishinda.
2)Huku wengi omba...
“English not Swahili”: The ill-placed call from a US senator on rewriting Facebook’s user terms
By Abdi Latif Dahir
April 12, 2018
Under scrutiny.
For two days, Facebook’s chief executive...
Mahakama ya serikali iliyojitenga ya Somaliland imemfunga jela miaka mitatu ,msichana anayeimba mashairi kwa kosa la kuhamasisha Somaliland kuungana na Somalia .
Makundi ya wanaharakati nchini...
Habari za jumapili waungwana,bila shaka mpo salama..siku kadhaaa nyuma nilikutana na Jamaa umri kama wangu..anazungumza kisukuma hadi raha..nikajisikia wivu..wazazi wangu wamezaliwa...
Jibu ni hapana.
ila hatutaki kufikiri kwa kuwa tayari hatujiamini.
nakumbuka mfano mmoja wa Mrisho Mpoto aliwahi sema kwamba kuna kizazi fulani kinasaidiwa kufikiri.
kwa mawazo yangu ni hiki...
Natafuta msaada wa kujifunza kitaliano. Anayeweza kukiongea kwa ufasaha tafadhali tuwasiliane +255768957825( Whatsapp pekee)
Help needed to study Italian. Anyone who can speak the language...
Wazungu, wa Asia hawa wezi watuhujumu sana Waafrica...biashara huria, ukoloni , utumwa, na ubeberu mambo leo ni matone tu katika bahari...! sio Ulaya wala Asia: Adidu rejea ya maendeleo wala...
Wakuu habr zenu,
imenilazimu nije hapa kuuliza hilo swali hapo juu kwasababu ninajua humu ndani tupo watu tofauti tofauti ktk kushare ideas pamoja na kuelimishana..
Mara nyingi mimi huwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.