Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Nikaona sio mbaya tupeneane elimu kuhusu mambo machache ya kielemu na kingereza....soma hapa acha uvivu kuna kitu utapata AUXILIARY VERBS...
0 Reactions
1 Replies
855 Views
Na ni jina la Kiafrika au Kizungu? Kwa maana nijuavyo mimi Majina yetu yote ya Kitanzania hayana herufi ,,Q na X” sasa ninyi hiyo ,,q” kwenye jina lake inatokea wapi kama ni Jina la Kiafrika? Au...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ni miaka kadhaa huwa naona hili neno linatumika lakini nashindwa kabisa kujua tafsiri halisi. Hivi majuzi nimegombana na kijana mmoja ambaye ni mmoja wa wafanyakazi wangu baada ya mimi kutoka...
1 Reactions
13 Replies
11K Views
Tangu asubuhi napata notification kutoka forums mbalimbali kuhusu hiki kijarida uchwara cha watu wa magharibi kuwa kimemchafua RAIS WETU MPENDWA ila sijaelewa chochote maana maelezo mengi ya...
3 Reactions
86 Replies
8K Views
Wadau, huwa ninapata shida kwenye matamshi ya jina linaloandikwa Middle. Mwenye jina hulitamka "Middle" lakini linavyoandikwa, kwa uwepo wa d mbili, naona kama linakuwa so jina katika lugha ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wataalamu wa lugha husema kwamba lugha ni kitu hai; hukua na kufa. Lugha kadhaa hapa duniani zilikua kisha zikafa mazima, kama kilatini, sanskrit n.k. Sijui jinsi lugha zinavyokufa mazima ila...
16 Reactions
49 Replies
12K Views
Mara nyingi watu wanapost picha ikiwa na neno TBT, Na wengine wanaambizana eti ooh Mbona hujaniweka kwenye DP yako!! Tafadhali anayejua maana atupie coz Mimi siyaelewagi hayo maneno!!!
0 Reactions
21 Replies
49K Views
Unapokesea jambo.... Neno gani sahihi zaidi "Samahani" Au " Kumradhi " Mf. Samahani siku jua kama nili kosea. Kumradhi siku jua kama nili kosea. Ruksa kuni rekebisha.
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Naomba maana ya internet katika kiswahili
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Sina tatizo na mada ya ndugu mmoja aliyoileta humu hapa leo akitumia maneno hayo hapo juu. Ila naomba nitumie nafasi hii kuuliza kuwa haya matumizi ya maneno au usemi wa "kupata matokeo" pasipo...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
NDAMA ni mtoto wa ng'ombe. pindi inapotokea "NDAMA akawa mkubwa halafu akawa na mama yake, "JE NG'OMBE HIYO ATAITWA NDAMA AU MTOTO WA NG'OMBE ' Chukulia mfano, "wewe umezaliwa,mama yako akawa mama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NDAMA ni mtoto wa ng'ombe. pindi inapotokea "NDAMA akawa mkubwa halafu akawa na mama yake, "JE NG'OMBE HIYO ATAITWA NDAMA AU MTOTO WA NG'OMBE ' Chukulia mfano, "wewe umezaliwa,mama yako akawa mama...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Nimejaribu sana kutafakari lakini nakosa majibu ni kwanini Tanzania na si Kenya ama kwingine ? kiswahili kwa asilimia mia moja kinazungumzwa sana nchini Tanzania tena kwa ufasaha na urahisi ambao...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Praying Mantis Hivi anaitwaje kwa Kiswahili?
0 Reactions
41 Replies
62K Views
Wadau wa lugh hii ya kiswahili mlipo sehemu mbali mbali duniani ,njooni mtuambie inchi zipi ukienda kiswahili unaweza kukiuza kama bidhaa yani mfano unaweza pata dili la kukifundisha, nk Karibuni
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Habari wana na binti wa Mungu. Naomba kuuliza aliyempa Mungu jina la jah ni nani? Na je alikuwa na kusudi gani? Au pengine ni mimi nimefikiria jah ni Mungu? Maana naona mitandaoni tu " jah...
3 Reactions
45 Replies
8K Views
Huwa najiuliza kama mtu amesoma kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba na labda akaenda sekondari pia, inawezekanaje anaandika hivi: Neno Hakuna anaandika akuna, Usipite anaandika husipite, Ibada...
11 Reactions
72 Replies
9K Views
Nauliza dagaa kwa kiingereza wanaitwaje? Kuna mtoto anataka kuniaibisha asubuhi hii, sijui zinaitwaje kwa kizungu, Msaada kwa anayejua..
3 Reactions
92 Replies
38K Views
Salama wakuu. Kuna hii kasumba mpya imeingia kwenye jamii.ni kule kujaribu kuleta complications kwenye uandishi wa majina yetu hasa yale ya asili ili yafanane na yale ya kigeni. Huwa sijui...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom