Shairi;moyo umeniweza

Shairi;moyo umeniweza

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,510
Reaction score
88,977
1.Kiburi si muungwana,kukaidi ya mabwana!
unduli si karama,kuutupa ushauri mwanana,
sifuri si kazi sana,kuipata huitaji chutama!.
Moyo umeniweza!

2.nisemayo yaakili,nitendayo sifikiri!
umeitia yangu dosari,machoni sioni mbali
umenikaba kwa kabari,uhai wangu sasa hatari!

3.moyo umeniweza,umenitoa tanga hadi muheza!
sifa yangu umeipoteza,kumfikiria mauwacheza!
sijiwezi hata kwa pweza,mla ndizi kwa chenza!.
Moyo umeniweza.

4.narudi...
 
Back
Top Bottom