Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Ni wachache sana kati yetu hawajawahi kupanda Daladala.Haya maneno si Mageni sana. Je haya Maneno kwa Lugha yetu Adhimu ya Kiswahili yanaitwaje?Au Mengine Kiswahili chake ni Hicho?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Uongozi wa Excellent College zamani CILOS, unakaribisha watu wote wanaotaka kujifunza lugha za kimataifa kama vile Kifaransa, Kiarabu, kichina na kiitaliano. Kwa sasa tunapatikana Upanga Mashariki...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Ramadhani Juma ama kama kama anavyojulikana kwa jina la kisanii Rama C Chenay ni chipukizi wa muziki wa kizazi kipya maarufu kwa jina la bongo fleva ambae alianzia safari yake ya kimuziki akiwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
USHAIRI SI UZEE Tuepuke kukariri, muda ushabadilika Ujuzi wa ushairi, upo kwenye kila rika Acha nivunje pingiri, watu waliyoiweka Ushairi si uzee, dhana potofu ondoa. Wapo vijana wazuri, mafundi...
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Katunzwa au katuzwa? msaada wenu tafadhali.
1 Reactions
16 Replies
6K Views
SIKU MOJA NITAKUA Mimi nitakapokua, nitauacha utoto Mazuri nitayajua,mepesi pia mazito Hatamu nitachukua, kukitafuta kipato Siku moja nitakua, nitafanya ya busara . Hekima nitatumia, nayo lugha...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
TAFSIRI NZURI YA kKISWAHILI YA MANENO YAFUATAYO: 1)WEALTH , 2)RISK, vs Danger 3)FINANCE vs Money kwa kiswahili
0 Reactions
0 Replies
1K Views
.. Juzi natoka kazini, getini nikakutana na mlinzi. (ni mzee hivi kdg ameniambia eti ni mnyantuzu japo kabila hili silijui). Katika kutambulishana maana mimi ni mgeni hapa ofisini nikamjuza jina...
2 Reactions
43 Replies
16K Views
Kipini alipenda pamela, ikavimba pua. Si ujinga kutenda ukitazama wengine, la muhimu kuwaza ni je, umeipata sababu ya kulitenda lile.wanalofanya wenzio? Nilipata fununu kuwa, nzige wako mbioni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Strange sounds about letter "O". Letter O has different sounds: 1.sound a as in gloves, money 2.sound e as in work 3.sound i as in women 4. Sound o as in orange 5. Sound u as in good, food, to...
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Leo tusalimiane kilugha ukimpata wa kabila lako reply muanze kukumbuka nyumbani. Ngoja mm nianze, WAKASHINA !!?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Amani iwe juu yenu wadau wote na wapenzi wa blog hii mimi malenga. leo kwa mara ya kwanza kabisa katika kipengele hiki cha mdau wetu tumekutana na mkurugenzi mkuuw a taasisi ya sauti ya vijana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba huyu Iddi Ninga mshairi wa Jf anitafute kwa mawasiliano haya 0788685390. Nahitaji nizungumze naye kitaaluma zaidi ni mshairi mwenzangu na mwanalugha mwenzangu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tupeane tafsiri kidogo wa wataalamu wa lugha na sanaa, tukatazame kidogo baadhi ya vipande vya mashairi ya wimbo wa Bi. Kidude uitwao "Muhogo wa Jang'ombe" Nini maana ya muhogo wa Jang'ombe? Bi...
1 Reactions
14 Replies
11K Views
Hii inawahusu wale tuliokuwa tunawaita wa kishua enzi zile Wale wa St Kayumba wenzangu tulieni kama tulivyokuwa tunatulia shule zisizo na walimu wakati wa debate Wale ambao wakati me nipo...
3 Reactions
52 Replies
6K Views
Wajuzi wa lugha naombeni mnipe tofauti kati ya haya maneno mawili , Kusikia na kusikiliza.
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Hi guys, I humbly request for the recently marked form 6 Dar language 1&2 Mock exams Marking Scheme. Please help me urgently!
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habafi wana JF Hv mkemia Mkuu kwa kingereza anaitwaje By chemistry language
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Tofauti kati ya kuona na kutazama ni nini?
0 Reactions
6 Replies
9K Views
nini maana ya mwenda tezi na omo,marejeo ngamani ? iweke pia sentensi hiyohiyo kwa kingereza,mwenda tezi na omo ni marejeo ngamani. tujipime sisi ni wazuri kwenye lugha gani,kati ya kingereza na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom