Saidia waswahili uarabuni

Saidia waswahili uarabuni

Colea911

Member
Joined
Jul 20, 2014
Posts
24
Reaction score
5
Sasa nimekuwa nasafiri uarabuni nikipata shida nyingi ya lugha. Najua kiswahili na kiarabu vinafanana kwa hivyo naomba watu nisaidie maneno yaliyo takriban yaleyale kwa hizi lugha mbili...

Maanake naona itakuwa rahisi zaidi nikumbushe hayo maneno kwa kiarabu. Wasemaji wa kiarabu nisaidieni!
 
Mistwaratu=mstari.
Qalam=Kalamu.
Salama=amani.
 
Ongezea na wewe
Kuna mtu alienda uarabuni hajui hata neno
Akaenda sokoni kamkuta mzee wa kiarabu anauza mboga mboga.
Jamaa akawa anasonta tu na mzee anataja
BAMIA?
Jamaa akashtuka
Akaonesha kwa kidole tena akaambiwa na mzee BILINJAN (bilinganya hizo)
Akajua huyu mzee lazima wa unguja huyu
Akaanza babu mambo?
Mzee anashangaa
 
Ongezea na wewe
Kuna mtu alienda uarabuni hajui hata neno
Akaenda sokoni kamkuta mzee wa kiarabu anauza mboga mboga.
Jamaa akawa anasonta tu na mzee anataja
BAMIA?
Jamaa akashtuka
Akaonesha kwa kidole tena akaambiwa na mzee BILINJAN (bilinganya hizo)
Akajua huyu mzee lazima wa unguja huyu
Akaanza babu mambo?
Mzee anashangaa
Huyo ni sawa na yule aliyeenda uarabuni. While at bus stop akataka kuvuta sigara hana kiberiti. Ndipo alimuona mvutaji mwenzie na sigara mdomoni akamuomba "jehannam"
 
Back
Top Bottom