Wajuvi wa lugha mnisaidie,kwakuzingatia mzizi wa neno,kitenzi na matamshi upi ni usahihi wa maneno au sentensi hizi:
Onyesha-onesha
Kaka wake-kakaake
Hajala-hajakula
Hajaja-hajakuja
NB...
Ujue kwenye hii dunia Lugha ya mawasiliano Worldwide is English ila sisi Tanzania tunaendekeza sana Kiswahili.
Watu tukienda huko nje tunashindwa vingi coz our English ni poor kabisa mm ningekua...
'Otherwise these is absolutely rubbish;' by PhD Holder and JamiiForums Great Thinker dr namugari
Tafadhali Wordsmiths Wengine akina jiwe angavu na Division One Mimi GENTAMYCINE nataka Kukijua...
Hakuna maana yoyote ya kijinadi kama taifa la Kiswahili kama kwenye vyombo vyetu vya habari vinakuwa na makosa mengi kwenye matamshi ya Kiswahili.
Au la basi mmoja wa Watangazaji anayekidhi...
Wasalaam wana bodi!
Ndg zangu nimesikitishwa sana na ukimya wa waziri wa sanaa, utamaduni ,michezo na burudani ndg Nape Mnauye kwa kutokuona jinsi lugha adhimu ya kiswahili kinavyoharibiwa na...
Wana JamiiForums naomba msaada wa kujua nini maana ya neno MSHUA. Wakati gani hutumika, mazingira gani husika, jinsia gani hutumia na ni muhusika ni nani hasa anapaswa kuitwa MSHUA.
Hovi karibuni...
Mara kadhaa nimemsikia Mtaalamu wa Lugha Bw Oni Sigala akitoa ufafanuzi au maana ya maneno mbalimbali ya Kiswahili baada ya kuulizwa na Mtangazaji.
Mimi sio Mtalamu wa lugha hii ila ni...
Hivi kwanini mtu akija huku Dar anapenda lafudhi ya kiswahili chetu?
Yaani unakuta mtu anaiga kabisa ule uongeaji sijui na yeye aonekane kazaliwa huku?
Sasa kibaya zaidi anavyoongea ni hovyo...