Tuhamasishe matumizi ya lugha ya kiingereza

Dullah694

Member
Jan 20, 2021
31
48
Ujue kwenye hii dunia Lugha ya mawasiliano Worldwide is English ila sisi Tanzania tunaendekeza sana Kiswahili.

Watu tukienda huko nje tunashindwa vingi coz our English ni poor kabisa mm ningekua Rais ningeamua Kiingereza kitumike kufundishia kuanzia primary mpaka University.

Ujue mimi nilijisikia vibaya sana hadi Wanyarwanda wanatushinda kwenye kuzungumza kiingereza yaani kwenye top ten ya Nchi za Afrika zinazoongea English vizuri na Rwanda wamo.

Serikali Especially wizara ya Elimu waliangalie hili tuanze kutumia kiingereza kuanzia chini na tuhamasishe matumizi ya hii Lugha ujue Tanzania tunaabika sana
 
Rwanda( taka taka hii ).

Hicho kingereza kimewafikisha wapi ukilingalisha na Germany, Italy, China, Russia, Japan, Korea ?
 
Wewe unaona ukijua kingereza basi shida zote na upuuzi wote uliopo nchi kwako utaondoka kwa watu wako kujua kingereza ?
 
Kati ya China Vs Nigeria nchi gani imeendelea ?

Kati ya Japan Vs Kenya nchi gani imeendelea ?

Kati ya Korea Vs Ghana nchi gani imeendelea ?
 
Ufikiri hafifu wa kudhania kuwa kujua lugha ya kingereza ndio maendeleo, Raisi wa China alikuja bongo miaka flani na akahutubia Tanzania kwa kichina.

Je ni wabongo wangapi wanajua kichina? Raisi yule hufanya hotuba yake kwa lugha ya kichina popote pale duniani. Unajua kwann? UTAMBULISHO. Muingereza tutamjua kwa kingereza wewe tutakutambuaje.
 
Kuna nchi zinaongea kiingeleza safi kabisa kama
1. Malawi
2 Zambia
3. Uganda
4. Ghana.

Wako hoi uki compare na Tanzania. Mzee kama umefeli ni tatizo lako. Usitafute excuse. Hawa wamalawi sikuhizi bongo wamegeuzwa ma house girls/boys kwa sababu ya hiyo lugha waongee na watoto.
 
Back
Top Bottom