Kuna wadada wakawaida..ila utawatamani.
Ukiwatazama unashiba..unajiona wathamani.
Ni nzuri yao haiba..hawataki tafrani.
Maneno yao ni tiba..yanatupa ahueni.
Mapenzi yakuiba..hawayataki asilani...
Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza hapo juu, ninahitaji kujua matumizi hasa ya -to- na -ta- . Je ni sahihi kutumia maneno mfano "Kama hutojali" badala ya "Kama hutajali" au "Sitosahau" badala ya...
Tangu ujio wa corona au covid 19, kumekuwa na matumizi ya neno osha mikono.
Mimi navyojua kuosha inahusisha vyombo na viungo nusu vya binadamu tunatumia Nawa. Ikiwa ni mwili mzima tunatumia neno...
Hi kwa wana jamvi wa JF, matumaini yangu muwazima wa afya .Straight to the point ninataka kuandika novel, sasa ninaomba mtu yoyote mwenye basics za novels anijuze.
GLU™.
Hii Ni tahadhali Kama ilivyotolewa na uongozi wa JF;
"Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani...
Nipo kwenye Kisima cha Maji
Nina madumu mawili, moja lina ujazo wa lita 5 na lingine lina ujazo wa lita 3
Nitawezaje kujaza moja wapo kwa lita 4 kamili?
Gari...gari...gari...gari..!! Una nini wewe?
Gari hata kama chakavu,heshima hukupatia,
Haijalishi uwe mkubwa hata mdogo pia,
Dunia yote inatambua,matajiri na masikini pia,
Afrika bara langu,hivi...
Ndugu zangu nisaidieni namna ya kukipata kitabu cha spoken English. Kina jalada la jeupe na weusi, picha ya mtu, kurasa hazivuki 200.
Nakihitaji kuna dogo langu anaingia form one. Pre-form one...
Wakuu nawasalimu wote
Habari za Asubuhi.
Kama kichwa cha Uzi kinavyosomeka naomba mniambie maana ya neno "LIMBUKENI"
Maana nimekua nikijiuliza tafsiri ya hili neno na sijaweza kupata maana ya...
Naomba kufahamishwa tafsiri ya hayo maneno kwenye sentesi, kwa mfano nataka kufungua kimgahawa lakini mbele yajina la mgahawa nataka niweke moja kati ya hayo maneno kama kibwagizo.
Nitumie lipi...
Suala hili limeshajadiliwa mno na wadau mbalimbali, hivyo, mimi ninapendekeza sauti hizi zipitishwe rasmi kuwa kitu kimoja. Yani, watumiaji wachague kile wanachoona kinawafaa.
Utafiti wangu...
Wakuu,
Nisaidieni tofauti ya maneno hayo hapo juu
Mfano;
Wanajeshi walivuma makombora Wanajeshi walivurumisha makombora
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni muda mrefu nimekua nikiona makosa ya uandishi kwenye blog km Muugwana na Jamiiforum watu wakishindwa kuandika neno kuahirisha na kuandika kuhairisha.
Cha ajabu leo vyombo vikubwa vya habari...