Natafuta kitabu cha spoken English

Markberry1555

Member
Joined
Jan 6, 2019
Messages
58
Points
125

Markberry1555

Member
Joined Jan 6, 2019
58 125
Ndugu zangu nisaidieni namna ya kukipata kitabu cha spoken English. Kina jalada la jeupe na weusi, picha ya mtu, kurasa hazivuki 200.

Nakihitaji kuna dogo langu anaingia form one. Pre-form one bado anazingua Kiingereza.
 

Forum statistics

Threads 1,357,591
Members 519,057
Posts 33,151,041
Top