Ganda la ushuru
Senior Member
- Mar 18, 2020
- 132
- 112
Hi kwa wana jamvi wa JF, matumaini yangu muwazima wa afya .Straight to the point ninataka kuandika novel, sasa ninaomba mtu yoyote mwenye basics za novels anijuze.
GLU™.
GLU™.
Mimi nitakueleza kulingana na ufahamu na uelewa wangu,na jinsi nilivyo anza kuandika riwaya yangu,ambayo hivi sasa ipo katika hatua za mwisho mwisho.Kwanza kabla,sijaanza uandishi wa riwaya yangu, nilihakikisha kuwa muktadha unaohusu riwaya yangu umekamilika.Hufanya hivi kwa lengo la kukwepa kuja kukwama kati Kati,labda kwa sababu ya mawazo kuganda au kuja kuchanganyikiwa au kuchanganya mada.Hi kwa wana jamvi wa JF, matumaini yangu muwazima wa afya .Straight to the point ninataka kuandika novel, sasa ninaomba mtu yoyote mwenye basics za novels anijuze.
GLU™
Shusha mkuu,nitakuwa wa kwanza kusoma.Kisha nitatoa maoni yangu juu ya kazi yakoNina kazi yangu nimeiandika ,nna mpango nishushe kipande kimoja humu ili nipate comments za wadau .
GLU™
LIFE IN A SILENT PLANET.Shusha mkuu,nitakuwa wa kwanza kusoma.Kisha nitatoa maoni yangu juu ya kazi yako
Kweli kabisa mkuuKama unaandika kwa kiingereza hakikisha ni kizuri na kimenyooka, kama unamashaka na kiingereza chako bora uandike ambacho ni simple kuliko hichi unachojaribu kuandika literary English.
haina shidaEven though i've not yet got the concept of your story,all i can say is,the story has a good start,and it is also catchy.And i can also guess,the woman giving birth,has somthing to do with giving birth to a savior or an important figure in the future,and the child is the main character.was just guessing.Piga muendelezo basi mkuu,ukituachia hivi unaturusha aisee.
Unaijua vizuri hii business,ukatupa unayoyajua?I like the ebook publishing business arena.
But I Won't Write. I'll outsource from ghostwriters
Asante kwa ushauri 🙏🙏Story zako zote ni nzuri kuna makosa madogo ila hayo usiyaangalie utakuja kurekebishiwa na mhariri ukimaliza kuandika draft ya kwanza we endelea kuandika tu.
Ndio hii ni tamthiliyaHii pia sio mbaya,ni tamthiliya sio.