Muondoke vs Ondokeni
Mje vs mjeni vs njooni
Mwende vs nendeni
Kiswahili sanifu ni hiki chenye "m" mwanzoni kama mofimu inayotaja dhana ya wingi au safu ya pili yenye mofimu "ni" mwishoni...
Habari za leo.
Lofa sio tusi ni neno la kiswahili ambalo lina maana mbili:
= > Maana ya kwanza, ni mtu anayezurura asiye na kazi ya kufanya.
= > Maana ya pili ni aina ya viatu ambavyo havina...
Nimefikiria maneno yafuatayo, Je ulisha fikiria jinsi ya kuiandaa biashara Kwaajili ya wateja au mtaji, lakini nadhani hapo hakuna neno linalowakilisha vizuri neno 'position'. To position a...
Naona kwa sasa kila mtu " tegemezi" anajiita Chawa wa fulani
Kwa mfano nimetoka pale Chato nimewakuta Chawa wa Mbunge na ni cheo rasmi mtu anajitambulisha
Nimeshangaa Sana kwa sababu Chawa ni...
Mfano una daftari la kurekodi stock inavyoingia kutoka stoo au ukinunua, na pia unarekodi stock ikitoka aidha kwa kuwauzia wateja ama kuibiwa.
ni sawa kuandika "zilipotokea na zinapokwenda"
ama...
Hii ni Aburani na ahadi Iliyowekwa Siku za Nyuma na Umoja wa Mataifa, Kuwa Kutakuwa na Siku Maalumu ya Kusheherekea Lugha ya Kiswahili Duniani Kila Mwaka.
Hii ni Abra nzuri kwa sisi wazungumzao...
Gazeti La Dunia
Matumizi sahihi ya lugha na upeo wa fikra
Ahmed Rajab
Ahmed Rajab
Mwandishi wa makala haya, Ahmed Rajab, akizungumza kwenye Baraza la House of Lords jijini London Julai 5, 2023...
BARUA YA WAZI
1 Nawasalimu kwa jina, jinale la jamhuri
Kwako wewe kamishina, uigongae mihuri
Wasimamizi wa shina, msome pasi kiburi
Hii barua ya wazi, kwenu nyinyi viongozi
2 Upapo mwingi uhaba...
Nawasalim nyote. Pokeeni Salam.
Naona vyema tuwe na uzi mmoja maalum wa ngeli. Naomba usaidizi wa ngeli sahihi ya maneno haya.
Kifaranga/Vifaranga - ( naona watu wengi hutumia ki-vi ambapo...
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah amewataka Wahariri kushirikiana na mabaraza ya Kiswahili ya BAKITA na BAKIZA ili kuendeleza lugha ya...
Tangu nimerudi nchini nimekuwa nikipata tabu sana kutambua yupi anastahili shikamoo na yupi hastahili, kuna nalingana nao umri ila wana maumbo makubwa hivyo najikuta nikiwapa shikamoo na...
Matumizi sahihi ya maneno haya kwa kweli huwa yananitatiza sana? Huwa napata shida sana kujua ni wakati gani wa kutumia kwa mfano neno "Kwenye " au wa kutumia neno "Katika" kwenye kuongea au...