Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 8,397
- 6,364
Nimefikiria maneno yafuatayo, Je ulisha fikiria jinsi ya kuiandaa biashara Kwaajili ya wateja au mtaji, lakini nadhani hapo hakuna neno linalowakilisha vizuri neno 'position'. To position a product is how you make a product be attracted by customers, similarly positioning for financial services is how you attract other peoples money for the business,(opm), je niandike hivi: Je ulisha fikiria jinsi ya kuitegeza biashara Kwaajili ya wateja au mtaji.
Angalizo ukiandika biashara yako itapoteza maana ya uwakilishi ninao utaka. Kwakifupi nahitaji neno linaloweza kuwakilisha vizuri neno 'position' kwa kiswahili
Angalizo ukiandika biashara yako itapoteza maana ya uwakilishi ninao utaka. Kwakifupi nahitaji neno linaloweza kuwakilisha vizuri neno 'position' kwa kiswahili