Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wanajamvi naomba kuuliza haya yanayojitokeza siku hizi kwa wingi katika kuandika na hata kutamka maneno ya kiswahili na kingereza kwa kubadili l na r. Hii inasababisha kubadili maana hasa ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
naomba kupatiwa tafsiri ya hilo neno hapo juu.
0 Reactions
33 Replies
25K Views
Kisawe cha neno beseni ni karai nini kisawe cha neno samaki? Msaada please
0 Reactions
11 Replies
27K Views
Nilikuwa kwenye daladala Ubungo Posta kuna mama mmoja mjamzito ana muomba konda Yule mama alisikika..Gari limejaa ondoeni gari joto limezidi Konda..inayo jaa chupa ya bia mama wala sio gari alafu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ninavyoelewa origin ya neno "hayati" ni kwenye lugha ya Kiarabu ambalo tafsiri yake kwa lugha ya Kiingereza ni "my life". Lakini kwa mujibu wa dictionary ya Kiingereza neno "hayati" linatumika...
0 Reactions
15 Replies
34K Views
Buriani Barubaru. 1. Anayeifanya njia, usipate angamizi. Anayekupa bamia, njaa inapokujia, Ndio wa kumwaminia, kwa asilimia mia, Buriani barubaru, Kwa herini JF. 2 Hewa bila kubabia,Wavuta na...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Nin maana ya haya maneno/methali/misemo hii: 1}"Usipomstahi Mke, Hutozaa na nduguyo,maana yake nin? 2} "Ndwele" maanayake nini,kama kwenye methali, yaliyopita si ndwele
0 Reactions
4 Replies
17K Views
Haya maneno yamekuwa yakitumika vibaya,mtu anasema mwanangu kumbe anamaanisha msichana...mwanagu (my son) ni shuruti awe mvulana, binti yangu (my daughter) nimsichana, na haiwezekani ukajumuisha...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Awali ya yote napenda kuwasalimuni ninyi nyote katika jukwaa hili. Lugha ya kiingereza ni ngumu kwa wengi wetu lakini bado serikali inasisitiza kwamba iendelee kutumika mashuleni na vyuoni kama...
0 Reactions
79 Replies
10K Views
Natafuta mwl wa kunifundisha ki-spaniola.
0 Reactions
1 Replies
974 Views
Hivi wataalam wa kiswahili wapo wapi?ama vyombo husika vina lipi la kusema katika hili?maana toka kiswahili kimesanifishwa kwa mara ya kwanza na waingereza mwaka 1930 tumeona kuna ukosefu kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna hawa jamaa wa Kenya Wanao tafsiri hizi filamu za nje wanatukana matusi makubwa katika simulizi..hili limekaaje wadau?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu wanatakiwa kuwa makini na taarifa zao kwa umma. 1.Kuepuka makosa ya kisarufu na uandishi katika Kiswahili rejea aya ya tatu sentensi ya pili wameanza na...
13 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa mie ninavyo fahamu neno la kiswahili lazima lihishiwe na irabu mwishoni kama jami-i,lugh-a,jukwa-a,n.k. Lakini neno RAIS halina irabu. Je ni neno la kiswahili
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Nimeona nije niilete hapa... zamani niliwahi kuambiwa Condoms kwa kiswahili zinaitwa KIFUDUSI au VIFUDUSI..Kwa wingi... lakini sijasikia saana haya maneno yakivuma.... sasa naona ni wakati...
3 Reactions
47 Replies
10K Views
Nimekuwa nikisoma biblia na kukutana na neno Mungu likiandikwa ama kwa kuanza na herufi kubwa au herufi ndogo. Nimekuwa nikijiuliza kwa nini neno hili huandikwa hivyo. Yaani unaweza kukuta...
0 Reactions
15 Replies
15K Views
Tafsiri ya maneno haya kwa kiswahili (lgbti) lesbian gay bisexual transgender intersex transexual.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
eti ndugu zangu...nataka kumwambia rafiki...i miss you kwa kiswahili na apate maana itakayomuingia kama hii ya kizungu namwambiaje?
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Huwa napata shida kulitumia neno KUMBE katika lugha ya kiingereza Mfano sentensi; Kumbe Tanzania ni nchi tajiri. sentensi hiyo itakaaje vizuri kwa kiingereza
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Baadhi ya wataalamu wa Lugha ya kiswahili wamejadili kuwa maneno mengi ya kiarabu kwenye kiswahili kama SHUKRUNI,AHSANTE,SHIKAMOO,NK nimaneno ya Kiarabu.Naomba kujua kama kiswahili ni Kiarabu au...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Back
Top Bottom