Msaada:NENO RAIS NI KISWAHILI

Kel.G

Member
Nov 5, 2011
34
6
Kwa mie ninavyo fahamu neno la kiswahili lazima lihishiwe na irabu mwishoni kama jami-i,lugh-a,jukwa-a,n.k. Lakini neno RAIS halina irabu. Je ni neno la kiswahili
 
Hilo ni neno la kiswahili ambalo halina asili ya kibantu, Kama sijakosea lina asili ya Kiarabu
kimaandishi hilo neno mara nyingine linaandikwa na kuwekwa i mwisho Raisi na mara nyingine linakuwa bila i kama ulivyoliandika wewe

maneno ya aina hiyo yapo mengi tu,
mfano: Marehem (Marehemu)
Maalum (Maalumu)
 
dah! Aksante nimekusoma mkuu
 
Back
Top Bottom