Nisaidieni hili neno | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni hili neno

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by SHIEKA, Feb 1, 2012.

 1. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,138
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Enyi wataalam wa Kiswahili. Naomba msaada wa hili neno: Noma. Najua maana yake lakini hapa JF neno hili huandikwa kwa spelling tatu tofauti kama: 1. noma 2.nouma 3noumer Mimi najua spelling namba 1 ndiyo sahihi hasa ila namba 2 na 3 ni spelling ya kifaransa na kutamka ni numa kwa namba 2 na 3. Je huu ni upotoshwaji wa bahati mbaya au makusudi? Na madhumuni yake ni nini? Nawashukuru
   
 2. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Tuambie kwanza maana unayoijua wewe, pengine upo/haupo sahihi.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Chonde chonde ulevi ni NOMA.
   
 4. security

  security JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kalewa-?hahahaha.
   
 5. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,932
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  .

  Hivi kweli wewe unajua maana ya neno Noma?!

  Unajua watu wengi hufikiri kuwa neno Noma ni la vijana na limekaa kama la mtaani! na hata wewe unasema unajua maana yake!

  Hili ni neno la kiswahili FASAHA Ndio maana hata kwenye Kamusi ya TUKI lipo hili neno na lina maana 2


  noma
  [SUP]1[/SUP] nm [i-/zi-] work chit (as a proof that one was working)


  noma[SUP]2[/SUP] nm [i-/zi-] obstacle, objection:

  Mfano: Sina noma mie - I have no objection.  Neno lingine ambalo watu hulichukulia kama la mtaani ni Nomi! .... (nyomi)

  Tatizo lililotokea hapa ni kuwa watumiaji wanakosea badala ya kusema Nomi baadhi wanasema Nyomi! Mfano utakuta mtu anapiga stori alafu anasema 'katika mkutano hou watu walikuwa Nyomi (Nomi)

  Katika Kamusi ya TUKI wameeleza maana ya neno NOMI

  nomi kl in abundance: Machungwa yamejaa NOMI ----- oranges are in abundance.


  .
   
 6. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ahsantee mkuu meipenda nilikua najjua moja tu ya objections bt hiyo in abundance nilikuwa sijui.
   
 7. M

  Mahmoud Qaasim JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 922
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 60
  umepata wapi hiyo tafsiri ya noma kuwa abundance? yeye kaongeza neno jipya NOMI ama wengi(hasa watu wa Daladala) husema NYOMI ama SHAZI.
   
Loading...