Nini maana yake?

Swts

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
3,062
1,292
Nin maana ya haya maneno/methali/misemo hii:
1}"Usipomstahi Mke, Hutozaa na nduguyo,maana yake nin?
2} "Ndwele" maanayake nini,kama kwenye methali, yaliyopita si ndwele
 
Kwanza nikusahihishe, ninavyielewa hii methali inasema "Ukistahi mke hutozaa na nduguyo" sasa maana yake nini, kwa uelewa wangu ni kuwa kama utamuheshimu mkeo na kumpenda kwa stahiki yake, basi hautakuwa na sabau ya kwenda nje ya ndoa, maana huko nje ya ndoa utachukua wanawake tu na wengine huwajui background zao so ndio maana ya kusema" hutozaa na nduguyo"

Ndwele sijui vizuri kwa kiswahili safi ila ni sawa na kusema "Illness, disease, or ailment" kwa kimombo. Sasa maana yake nini hasa ile methali uliyopigia mfano ni kuwa..yaliyopita yasituumize sana muhimu ni kufikiri juu ya yanayokuja!
 
nashukuru,nmekuelewa,ila kwa hiyo ndwele ngoja waje wataalam
 
Nin maana ya haya maneno/methali/misemo hii:
1}"Usipomstahi Mke, Hutozaa na nduguyo,maana yake nin?
2} "Ndwele" maanayake nini,kama kwenye methali, yaliyopita si ndwele

.
Maana ya ndwele:

ndwele - illness, disease, ailment.

.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom