Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Habari ya leo waungwana wa jukwaa hili la lugha yetu adhimu ya kiswahili! Ninaomba msaada wa kuelekezwa wapi nitapata mtaalam wa kufundisha kiswahili kwa wageni/wahamiaji halali. Nadhani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ancient language not heard for 4,000 years is recorded for the first time as linguists work out how English came about using ancient texts Proto-Indo-European, or PIE, was spoken across Europe...
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Anaitwa Sauda Mwilima na anaendesha kipindi cha Bongo Beats. Kila atangazapo lazima atumie maneno haya, hata tarehe 21/9/2013 alipotangaza Red Carpet ya Redd's Miss Tanzania aling'ang'ania hayo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Telecommunications na Technology. Msaada kwa Anayejua tasfiri kwa kiswahili maneno haya Tunayahitaje?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hili linathibitika kwa Uwepo wa Idadi kubwa ya Manen ya Kiswahili amby yanatokana na Kiarabu tofaut na Lugha nyingine,Mfano:- LAFUDHI,RADHA,FAHAMU,FALSAFA, JAMAA,BARIDI,SWAHILI, ABUDU.SAWIA,Na...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
maonyeso au maonesho mtazamo au mtizamo singizia au zingishia zungurusha au zungusha?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NENO kongano limekuwa likisikika masikioni mwa baadhi ya Watanzania, ingawa huenda limekuwa likikanganya na kuacha maswali mengi kuhusu maana yake halisi. Huenda kuna ambao wanalichanganya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Huwa nasikiliza sana vipindi vya mapishi kwenye tv na redio. Kinachonishangaza ni wingi wa matumizi ya maneno ya kumiliki (possessives) eg yangu, yako yetu etc . Mathlani mpishi atasema hivi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hili ziwa lipo huko Marekani, jina lake ni Chargoggagoggmanchauggagoggchaubunagungamaugg, watu wamekua wakiliandika tu huku wakishindwa kulitamka.... dunia ina mambo.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TANZANIA Ni yetu ,KISWAHILI Ni lugha yetu......ebu tembelea apa http:/www.geosan.com
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuana tofauti gani kati ya Chuo na Shule..?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji mwalimu wa kunifundisha kifaransa privately
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama yellow = Njano Green = kijani Red = Nyekundu White = Nyeupe Pink = ? Blue = ? Nipeni elimu
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Heyyyyyy Kumekucha,, Nsaidieni nini tofauti kati ya malaya na kahaba ? Unaweza ukawa kahaba na usiwe malaya & vice versa
0 Reactions
8 Replies
5K Views
wakuu nawasilisha..
0 Reactions
1 Replies
15K Views
Katika kupitiapitia kwangu nimekutana na makala ambayo nimeona ni bora kuiweka hapa ubaoni ili wote tuweze kuisanifu Swahili ni Taifa la makabila yaliopo katika Pwani ya Afrika ya Mashariki...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Alitokea mchawi, kawaroga watu hawa. Akawapa ukiziwi, na magonjwa yaso dawa. Kawafanya wawe kiwi, ndege wasio na mbawa. Mchawa alipania, kuwatesa si kuua. Kawaroga mashujaa, kafanya wawe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Muda mrefu nimekuwa nikipata shida kutambua ni neno gani hasa sahihi kati ya 1. Ugali na Ugari...utamsikia mtu akisema "nina songa ugari", je ni sahihi 2. Kulowa na Kurowa...utamsikia mtu akisema...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Utata wa kisarufi ni kitu cha kawaida sana katika lugha zote duniani.. Utata huo waweza tokea kwa sababu mbalimbali. Lakin kwa lugha yetu ya kiswahili utata huo wa kisarufi umezidia mipaka kiasi...
0 Reactions
3 Replies
13K Views
Kwa mwenye uhitaji huo tuwasiliane- kichina kwenda Kiswahili na kiingereza n vise versa
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom