thadey makusilo
Member
- Oct 31, 2013
- 46
- 11
Hivi wasomi wa kiswahili napata shida katika sentensi ifuatayo naomba usahihi,''jamuhuri ya muungano wa tz''au jamuhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar
Niko nyuma yako nasubiri majibu pia!Hivi wasomi wa kiswahili napata shida katika sentensi ifuatayo naomba usahihi,''jamuhuri ya muungano wa tz''au jamuhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar