Ni Kunguruma au Kuunguruma?

Ni Kunguruma au Kuunguruma?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,278
Kwa muda mrefu sana, kusema kweli tangu enzi za augustino Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani, waandishi wa habari walinibadilisha kuhusu ufahamu wa neno 'kunguruma'. Mwanasiasa anapohutubia wananchi waweza kutumia neno 'kunguruma' kuelezea hotuba hiyo. Lakini waandishi wengi hutumia neno 'kuunguruma' eg,Mwenyekiti Mbowe ataunguruma kesho kwenye mkutano utakaofanyika viwanja vya Jangwani dsm.
Je, kiswahili sahihi ni kipi? Kunguruma au kuunguruma?
 
Back
Top Bottom