Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,856
Najua kila mtu ninapozungumzia umasikini wa lugha ananielewa vizuri sana, katika upembuzi wangu wa lugha nimeona leo niwaonyeshe jinsi lugha yetu hii tunayojinadi nayo ilivyo masikini kuliko hata kisukuma.
kwanza kabisa lugha hii kuna baadhi ya maneno ukilataja moja tu halileti maana husika tofauti ya kisukuma mfano "kichwa" mtu akisema kichwa hutomwelewa moja kwa moja maana katika hugha ya kiswahili lazima utajiuliza ni kichwa cha nini kinachoongelewa, hapo utaleta habari za kichwa cha mtu, kichwa cha paka, tofauti na kisukuma chenyewa ukisema tu 'nyano," unamanisha kichwa cha paka,