Da tall gal
Member
- Oct 29, 2016
- 11
- 9
Habarini wana JF, Natumai ninyi ni wazima , naomba msaada kwa anaefahamu methali tano kwa lugha ya kichagga zinazomuhusu mwanamke na maana zake, ASANTENI
Kulalye mma na nduka=usiweke kiapo cha siri na mwanamke.Haba na haba, hujaza ki==
Mhhh! hapa mziki mnene lazima kakimbie.Duh.! kale kajamaa kanako bold maandishi na kukomenti kila uzi kako wapi kakomenti huu uzi.?
ShukraniKulalye mma na nduka=usiweke kiapo cha siri na mwanamke.
ani ww...mara mwenye avatar ya kitoto kilichobemendwa una vitukoDuh.! kale kajamaa kanako bold maandishi na kukomenti kila uzi kako wapi kakomenti huu uzi.?
Kulaya nawe upo humu!!!!!?Kulalye mma na nduka=usiweke kiapo cha siri na mwanamke.
Dada vipi aisee..mzima weweHeheheee kakaangu jose popote ulipo
Nkyamana nkyamene nkyamae.....Habarini wana JF, Natumai ninyi ni wazima , naomba msaada kwa anaefahamu methali tano kwa lugha ya kichagga zinazomuhusu mwanamke na maana zake, ASANTENI
Daah ngoja nijaribu kuuliza hapa kwa bi mkubwa.. methali za kchaga sijazisikiaga sanaNaantombe Mushi Unaitwa huku uje kutunga methali ya kikwenu.
Cha mtoto kikubwa kuzidi cha mama yake!! Sijui kitakuwa kitu gani aisee????Nkyamana nkyamene nkyamae.....
Cha mtoto kikubwa kuzidi cha mama yake......