Jukwaa la Historia

On JF:

Karibu tena na uzi mwengine! Siku kama ya leo katika mwaka 1958, kulitokea mauaji, sijui nisemeje lakini iko hivi...[emoji116] Mwaka 1958 kuna dogo wa miaka 16 aliyekuwa akifahamika kwa jina la...
1 Reactions
1 Replies
936 Views
Kupitia thread hii ,wana JF naombeni tujuzane historia na mambo tofauti tofauti yaliyo weza kutokea katika siku husika ambayo utakuwa na kumbukumbu nayo. Mchangiaji unaweza ukaelezea kisa...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
RAJAB DIWANI KAMANDA WA VIJANA Nimekuwa na kawaida siku hizi kuwa kila ninapoona picha ya mtu maarufu katika wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika nitafungua kitabu cha Abdul Sykes kutazama...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo. Kwa kipindi nilichokaa Morogoro nilipata kusikia kwa kifupi taarifa kuhusu Mbena Malumbi na pia kuoneshwa baadhi ya zilizokua mali zake. Hivyo, nimekuja kwenu...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
MWANACHAMA BORA JAMIIFORUMS STORIES OF CHANGE 2022 Picha zilizopo hapo chini zinajieleza zenyewe. Nawashukuru sana JF kwa heshima hii waliyonipa. Huu ni mwaka wa pili mfululizo napewa heshima...
49 Reactions
101 Replies
5K Views
Mwanariadha mlemavu Alex Roca Campillo, ambaye ana ulemavu kutokana na kupooza kwa ubongo, aliweka historia kwa kukamilisha mbio za marathon za Barcelona katika muda wa chini ya saa sita...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Alexander The Great harakati za kutawala Ulimwengu. Ili uweze kufahamu zaidi ni jinsi gani Alkebulan (Bara la Afrika ya sasa) ilivamiwa na Wakoloni inakupasa kujua historia ya Mfalme Alexander...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Swali fikirishi. Kabla ya ukoloni wa Berlin Tanzania ama specifically Tanganyika haikuwepo, katika confinement ya mipaka ya sasa. Ni phenomena waliyoitengeneza wao. Katika kudai Uhuru kulikuwa...
1 Reactions
15 Replies
907 Views
Ni wapi Julius Nyerere aliwazidi "ujanja" wazee wa mjini,born town na Watoto wa K'koo? Wazee wake na gwiji wetu wa historia Mohamed Said Ukifuatilia historia na harakati za Uhuru,unaona kuwa huyu...
17 Reactions
411 Replies
20K Views
Dr. Livingstone huyu ni mmoja wa wamissionary waliotumwa na kampuny la IBEACO kuja kueneza dini barani Africa, na yeye alifika na kueneza dini eneo la Africa mashariki yaani Kenya, Tanzania na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
HAKUNA TAIFA LA KUINGUSHA MAREKANI KATIKA DUNIA HII, MAREKANI ITAJIANGUSHA YENYEWE. Na Comred Mbwana Allyamtu (CMCA) Monday-5/12/2022 Marangu, Kilimanjaro, Tanzania Hadithi yetu inaanzia hapa...
8 Reactions
37 Replies
5K Views
BABA WA TAIFA AKIKEMEA UDINI Mjamaa wa kisasa anamnukuu Baba wa Taifa katika suala la udini msome hapo chini: - Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa Ni kiongozi aliyepiga...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Aliyekuwa rais wa kwanza mweusi wa taifa huru la Afrika ya kusini alifahamika zaidi kwa majina mawili ya Nelson Mandela. Hayati Mandela aliyezaliwa 1918 na kufariki 2013 alikuwa na majina mengine...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kutoka Kushoto: Sheikh Suleiman Takadir, Mbutta Milando, JohnRupia na Julius Nyerere Hao Waliowazunguka na Silaha za Jadi ni Bantu Group Kundi la Vijana wa TANU lililokuwa linatoa Ulinzi kwa...
10 Reactions
383 Replies
59K Views
DOSSA AZIZ ALIPOSAHAULIWA KUPEWA MEDALI 1985 Tarehe 27 Aprili, 1985 Julius Kambarage Nyerere, sasa akijulikana kama Baba wa Taifa, katika sherehe kubwa katika viwanja vya Ikulu, alitoa jumla ya...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
MAKALA YA MAMA MARIA NYERERE KUTIMIZA MIAKA 93 NA MAKOSA NDANI YA MAKALA Kuna makala imewekwa mtandaoni kuhusu Mama Maria Nyerere kutimiza miaka 93 hii leo. Makala hii imesheheni mengi katika...
30 Reactions
271 Replies
13K Views
EDWIN MTEI alizaliwa jumanne 12.7.1932 siku hiyo mama yake Akiwa mjamzito akiambatana na jirani yake waliamka asubuhi Sana na kwenda kwenye shamba la mahindi na maharage lililokua km 8 kutoka...
10 Reactions
14 Replies
11K Views
DOSSA AZIZ KATIKA WAKATI WAKE KUKIMBILIA KUUNDA TANU 1950 Tulikuwa tumekaa barazani kwa Dossa Aziz nyumbani kwake Mlandizi nyakati za asubuhi kama saa nne mimi, Ally Sykes na mama mmoja Mmarekani...
3 Reactions
0 Replies
998 Views
GARI LA DOSSA AZIZ ALIYOMPA JULIUS KAMBARAGE NYERERE WAKATI WA KUPIGANIA UHURU Ilikuwa mwaka wa 1946 Ally Sykes akiwa katika meli iliyokuwa inawarudisha askari Waafrika kutoka Vita Vya Pili Vya...
6 Reactions
4 Replies
1K Views
HISTORIA YA JONAS MALHEIRO SAVIMBI AGOSTI 3,1934 - FEBRUARI 22,2002 Jonas Malheiro Savimbi ni moja ya Wanasiasa na Wapigania Uhuru katika moja ya mataifa yaliyopo kusini mwa Afrika yaani...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Back
Top Bottom