44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,135
- 2,144
Dr. Livingstone huyu ni mmoja wa wamissionary waliotumwa na kampuny la IBEACO kuja kueneza dini barani Africa, na yeye alifika na kueneza dini eneo la Africa mashariki yaani Kenya, Tanzania na Uganda
Mmisionary huyu sehemu ya kwanza aliyoikanyaga baada ya kutua Tanzania ni Bagamoyo mkoani Pwani, mpaka Leo mlango alioingia kuelekea ndani ya kanisa upo na umewekwa Kama sehem ya makumbusho.
Sehem zingine alizoweza kutembelea ni Kenya, Zambia etc
• Miaka kadhaa baada ya kutua Africa alianza kuumwa malaria mpaka akafariki huko Zambia.
• Baada ya kufariki utumbo na ubongo wake vyote vilitolewa ili asioze.
• Baada ya hapo mwili wake mzima ulipakwa chumvi, kwa lengo la kuuzuia usishambuliwe na bacteria
• Baadae akawa anatembezwa maeneo kadhaa ya makanisa hasa hasa ya Pendekoste ili aagwe na waumini wake
• Baadaye zkaanza taratibu za kumsafrisha mpaka Uingereza, alisafirishwa mpaka Uingereza kwa kupokezana, yaani waumin wake walikuwa wanambeba mpaka eneo Fulani na wa eneo hlo nao wanampokea mpaka akafka Uingereza, na hii Safari ilichukua miezi sita. Hiki ndo kimeumiza sana akili yangu,yaan mait isafirishwe kwa miezi sita ikiwa imepakwa chumvi tu. Daaa sjui hali ilikuwaje wazeee!
Mwenye uelewa mpana kuhusu mmisionary huyu naomba anijibu maswali yafuatayo:
1. Ilikuwaje afe kwa malaria mtu msomi mkubwa namna hyo? Dawa za kumtibu zlikosekana kweli?
2. Kipind hicho ndege hazikuwepo mpaka maiti nasafirishwa kwa aibu hivyo kwa miez sita? Au kampuni lao lilikuwa maskini sana kias cha kukosa hela ya kusafirisha mait?