MWALIMU WANGU MZEE KISSINGER
MZEE KISSINGER WA MTAA WA CONGO CHUO KIKUU CHA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA
Mzee Kissinger huniambia, ''Wewe Mohamed mimi nimekusomesha wapi?''
Mimi huwa simjibu...
Picha inajieleza;Inasemekana hadi mama Maria alishawahi kumpiga huyu mama wa kizungu makofi maana aliona kama anataka kuleta za kuleta maelezo yapo kwa picha
JUMA "MENSAH" PONDAMALI ALIVYOIPA USHINDI TANZANIA KUFUZU KOMBE LA AFRIKA DAG HAMMARSKJOLD STADIUM NDOLA ZAMBIA 1980
Sote tulikuwa kimya tukimsikiliza Juma Pondamali akituhadithia kwanza jinsi...
Binadamu na viumbe wengine wana tabia kuu zinazofanana. Viumbe wote wanazaa, kula, kuhema, kuhisi, kutoa uchafu na kusogea kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Tabia zote hizi huwezi kuzizuia Wala...
Hiki ni kisa cha miaka mingi kidogo, kuna baadhi ya members wa JamiiForums walikuwa hawajazaliwa, na wengine walikuwa ni wadogo sana, na wengine walikuwepo ila walikisahau.
Ninakiweka kisa hiki...
Tukiwa tunaadhimisha miaka 50 baada ya kifo cha Abeid Karume, sasa tujiondoe kwenye jela ya fikra, ni nani haswa alipanga mipango na kumuua Karume? Uzi tayari. Karibuni kwa mjadala...
Cc...
FUTARI NA FUTURU NA BALOZI DR. RAMADHANI DAU NA YANGA KIDS WATOTO WADOGO WALIONG’ARISHA SOKA LA TANZANIA MIAKA YA 1970
Kuna mshairi alikuwa anatunga shairi na mwanzo wa ubeti akajiuliza, ‘’Wapi...
1962 uliibuka mgogoro ambao ulitaka kupelekea vita kati ya nchi ya Cuba na Marekani mara baada nchi ya Marekani kugundua kuwa USSR inaweka makombora ya Nuklia nchini Cuba, Nchi ya Cuba chini Fidel...
Yapo majina ya mabondia ambayo hayatajwi kabisa kwenye historia ya mabondia ambao wame acha rekodi kubwa ,lakini leo utafahamu bondia ambae ameacha rekodi kubwa lakini jina lake huwa halitamkwi...
HISTORIA YA MAGEUZI NCHINI TANZANIA KWA KIFUPI SANA
Binala. Nimerudi. Kama nilivyoahidi, nitarejea historia ya mageuzi ya kisiasa hapa nchini, japo kwa kudodosa kidogo tu. Ninayoandika hapa si...
Mnamo Agosti 28 mwaka 1963, karibu watu 250,000 walikusanyika kaika bustani ya kihistoria ya Lincoln Memorial mjini Washington-DC kumsikiliza mtu huyu akizungumza.
Jina lake lilikuwa Dkt Martin...
MAARIFA NI NGUVU!!!!!! ✊🏽
~
MUDA WA HISTORIA YA AFRIKA (SIMULIZI ZETU ZA UKWELI)
- 100,000 BC - Wanadamu wanahama kutoka Afrika kwenda sehemu zingine za ulimwengu.
- 3,118 KK - Mfalme Menes...
Kwenye biography yake, Malcom X anaelezea jinsi alivyonunua suti aina ya zoot alivyofika jijini Boston.
Suruali ya bluu, magotini ikiwa na upana wa nchi thelathini, kisha inapungua upana kuelekea...
Its TBT day lets motivate...
.
Naam!
.
Alikuwa ni mtu mweusi ... alikuwa akifahamika kwa jina la . . .
.
Madam CJ Walker (1867-1919) alikuwa ni milionea wa kwanza wa kike kule US. She was a...
DUA YA MUHAMMAD ALI KINSHASA 1974
Kwenye kitabu cha maisha yake, "The Greatest My Own Story," Ali anaeleza vipi mzee mmoja kutoka Cuba mchuaji wake misuli alivyokuwa anamnanga kuhusu yeye kujiita...
SEHEMU YA PILI
Khamis Abdulla Ameir kulia na Ahmed Rajab wakiwa mkutanoni African Union mwaka wa 2013
Huko nyuma nimeeleza kuwa nitaeleza ni waandishi gani walioandika vitabu vya kutisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.