Je, Wajua Kuwa Milionea wa Kwanza wa Kike Alikuwa ni Mweusi?

Adil_101

Senior Member
Jul 26, 2022
110
339
Its TBT day lets motivate...
.
Naam!
.
Alikuwa ni mtu mweusi ... alikuwa akifahamika kwa jina la . . .
.
Madam CJ Walker (1867-1919) alikuwa ni milionea wa kwanza wa kike kule US. She was a self-made milionea.(++) =....
.
Na pia, dola milioni 1 kipindi hiko ni sawa na dola milioni 27 katika zama hizi.
.
Lakini, hiko sio kitu cha kushangaza.
.
Ngoja tuongelee context ya hiki kitu
.
Madam CJ Walker alizaliwa mnamo mwaka 1867. Na ndugu zake (4) wote walizaliwa kabla ya the Emanicipation Proclamation na wote walikuwa watumwa.

.
Mama yake alifariki akiwa na miaka mitano.
.
Baba yake alifariki akiwa na miaka 6.
.
Hali hiyo ilimpelekea kuwa yatima katika umri wa miaka 7.
.
Na kwa wakati huo alikuwa akiishi katika kitovu cha jiji la Conferedecy (Mississippi) kama binti mdogo aliye na umri kati ya miaka 5-10 baada ya Civil War kutokea kule US.
.
Basi, bibie huyu alifunga ndoa akiwa na umri wa miaka 14, (such a sad tale) na mumewe alifariki baada ya miaka yao mitano ya ndoa.
.
Sasa mambo ya kaanza kubadilika... na ya kawa hivi....
.
Katika umri wa miaka 20s mpaka 30s bibie huyu alijihusisha na biashara ya kuuza haircare products za mjasiriamali mwengine wa kike. (black also)
.
Na, alipotimiza umri wa miaka 37 aliamua kuanzisha hair product line yake mwenyewe.
.
Alijenga biashara ile kiasi cha kuitwa a million dollar empire, huku akiwa ameajiri sales agents wapatao 20000.
.
In addition, aliweza kuwaonyesha wanawake wengine (blacks) jinsi ya kujibajeti, jinsi ya kuanzisha biashara na akawashawishi wawe financially independent.
.
Kitu kimoja cha kushangaza. Ni kuwa alifariki mwaka 1919 na kwa kipindi hiko wanawake walinyimwa haki ys kupiga kura mpaka ilipofika mwaka 1920.
.
Fikiria hilo....
.
Madam CJ Walker alikumbana na changamoto kubwa na zilizo hatarisha maisha yake lakini hakukata tamaa alipambana juu chini kwa miaka mingi ilikujenga million-dollar empire yake, huku akiendelea kuwa hamasisha na kuwaelimisha mamilioni ya watu.
.
What an incredible story of faith, hard work & impact.
.
I hope umeenjoy kusoma thread hii
.
Sina mengi ya kusema zaidi
.
See you wen u see me
.
Adil
.
Sayonara!
 
Walker c. 1914
Madam_CJ_Walker_face_circa_1914.jpg
 
Back
Top Bottom