Ushahidi wa Historia Kupitia Maneno ya Kawaida
Maneno tunayoyatumia kila siku yanaweza kutufundisha mengi kuhusu historia. Mfano mzuri ni neno "algorithm," ambalo linatokana na jina la...
Wengi wanamfahamu Malkia Elizabeth II kama kiongozi wa Kifalme aliyedumu kwa muda mrefu, lakini wachache wanajua kuwa alikuwa fundi wa magari aliyepata mafunzo rasmi.
Mnamo mwaka 1945, wakati wa...
Kutana na Gazeti lililotabiri kuhusu simu kushikwa mkononi na kuwekwa kwenye mifuko
Nani anakumbuka kama Kuna siku itafika simu itaweza kuwekwa kwenye mifuko au kutembea nazo na kuwa sehemu ya...
PROF. KABUDI: HISTORIA YA WANAWAKE WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Siku mbili hizi zimekuwa siku za furaha kwangu kwa kuona katika hadhira kubwa sana za CCM wapigania uhuru waliosahauliwa kwa...
Utangulizi
Juma Mwapachu alikuwa mwanafunzi wa shule ya msingi Nansio, Ukerewe wakati Abdul Sykes na Ali Mwinyi Tambwe walipokwenda Nansio mwaka wa 1953 kumuona baba yake, Hamza Kibwana Mwapachu...
Huyu ndie Abdulahaman Shimbo Gwiji la Vita lililoipa sifa JWTZ kimapigano nje ya nchi Comoro msikilize
https://youtu.be/d71PNHcO8sM?si=DgJ2O2LFYCYfumPQ
KUTOKA MAZIKONI: CHIRAU ALI MWAKWERE, JUMA MWAPACHU NA ALLY SYKES
Ally Sykes hakupata kunieleza kama alipata kukutana na Chirau Ally Mwakwere.
Ali Mwakwere ndiyo kanifahamisha jana tukiwa Pande...
Kuna nadharia kificho (conspiracy theory) kwamba Sokoine na Imran Kombe waliuawa na kwamba vifo vyao vinahusiana. Je, kuna maelezo kishawishi yapi (convincing) kufanya nadharia hiyo iwe na...
Unapoitazama nchi ya Rwanda leo huwezi kuamini kwamba kuna wakati ilitawaliwa na Wahutu tangu ilipopata uhuru mwaka 1962.
Nchi hiyo iliyokuwa koloni la Ubeligiji ilipata uhuru wake na kukabidhi...
Wana historia wa vita vya Kagera / Uganda wamekuwa wakiwataja makamanda wakuu wa vita hivyo waliokuwa na vyeo vya Brigedia kwenda juu.
Majina kama Abdalah Twalipo, Tumainieli Kiwelu, John Walden...
Injini ya meli kubwa iliharibika, na hakuna alieweza kuitengeneza, wakaamua wamtafute fundi mwenye uzoefu wa miaka 30, alipofika akaiangalia injini yote kwanzia juu hadi chini, baada ya kukagua...
Diallo alizaliwa mwaka wa 1701, alikuwa mwana wa mfanyabiashara wa watumwa katika Senegal ya sasa 🇸🇳 Alipokuwa mkubwa, alijihusisha sana na biashara ya baba yake, kuuza watumwa kwa wafanyabiashara...
Kwenye pita pita zangu katika makarasi ya mzee nikakutana na hili tangazo, tangazo za sigara ambazo sikufahamu kuwa zilikuwa ni sehemu kubwa ya maisha ya watu enzi hizo.
Kwa wale wahenga nadhani...
KWA ZITTO KUNANG'ARA NA DAKU LA RAMADHANI LINANG'ARA
Zitto hajaacha kunishangaza kila siku.
Nilikuwa na hamu ya kuingia ndani ya Restaurant niangalie na kupiga picha.
Lakini kitu kimoja...
1) Nchi ya Ugiriki/ Uyunani inapatikana upande Kusini Mashariki mwa bara ka Ulaya. Nchi hii imepakana na nchi ya Albania, Macedonia Kaskazini, Uturuki na Bulgaria na pia imepakana na bahari ya...
Tunduru ni moja ya wilaya ambayo inapatikana katika mkoa wa Ruvuma kusini mwa Tanzania, asili ya wakazi wa Tunduru ni Wayao ambao wanasadikika wanatokea Msumbuji, katikati ya miaka ya 80 kulikuwa...
Bob Marley alizaliwa tarehe 6 Februari 1945 huko Nine Mile, Saint Ann Parish, Jamaika. Jina lake halisi lilikuwa Robert Nesta Marley. Alikuwa mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na mpigaji gitaa maarufu...
Siku kama ya Leo mwaka 1804 huko Ufaransa bwana Napoleon Bonaparte alijivika Taji kama Kaisari wa Ufaransa. Mwaka uliofuata akapewa pia Taji la Mfalme wa Italia.
Vita ya Mapinduzi yake dhidi ya...