Jukwaa la Historia

On JF:

Ukisoma kitabu cha Enoko, anasimulia kuanzia mwanzo mpaka mwisho, jinsi alivyotokewa na malaika wawili, na kama ilivyo kwa malaika wote wanapowatokea wanadamu huanza na neno “Usiogope”. Kwa nini...
19 Reactions
115 Replies
11K Views
Habarini, Kila mara najiuliza inakuwaje Waafrikanwaliokana majina yao ya asili na kubatizwa au kusilim wakiamini wamezaliwa upya katika dini mpya waendelee kutumia majina ya asili? Hapa ndipo...
0 Reactions
8 Replies
484 Views
MWAMBA HUYU HAPA... BLUCE LEE alivunja rekodi ya dunia Mara 10 ndani ya miaka miwili tu.Bluce Alivunja rekodi ya dunia baada ya kupiga push up 2000 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja,kupiga...
5 Reactions
15 Replies
980 Views
"UJANAJIKE" KITABU KILICHOSHINDA TUZO YA KISWAHILI YA CORNELL YA FASIHI Mwandishi wa kitabu hiki Dotto Rangimoto kaniletea kitabu hiki nimekikuta nyumbani tena "autographed." Bahati mbaya lau...
5 Reactions
2 Replies
510 Views
Ukiweka ahadi lazima uitimize..Ukiweka nadhiri ni lazima uitangue la sivyo itakutesa kifikra na kudai utanguzi. Mwaka wa jana kwenye post moja, tukiwa na mjadala, tulimjadili gwiji wa falsafa...
20 Reactions
204 Replies
24K Views
Tukio La Varginha (Roswell ya Brazil). Tarehe 13 Januari 1996 Komandi Ya Anga Ya Anga Ya Amerika Kaskazini (NORAD) ilitoa tahadhari kwa majeshi ya Brazil, kwamba kuna kitu kisichotambuliwa (UFO)...
13 Reactions
52 Replies
3K Views
https://youtu.be/aF0b1VDxVm8?si=bwgSyqA52isDS3pq
1 Reactions
17 Replies
658 Views
JE NI KWELI RWANDA IKO SALAMA TOKA KUMALIZIKA KWA MAUAJI YA KIMBARI 1994? Makala yangu no 02. Juu ya ziara yangu East, Central & Great lake zone of Africa. Na. Comred Mbwana Allyamtu. Kumekuwa...
3 Reactions
71 Replies
18K Views
KIMONDO CHA MBOZI Kimondo cha Mbozi ni kimondo ambacho kilianguka kutoka anga-nje karibu na mji wa Vwawa. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa takribani tani 16, kilianguka katika kilima cha Mlenje...
4 Reactions
17 Replies
5K Views
SITI BINT SAAD KATIKA MAISHA YA BIBI TITI MOHAMED Haya ninayoandika hapa nimeelezwa na marehemu Leyla Sheikh mjukuu wa khiyari wa Bibi Titi Mohamed na shoga yake kipenzi. Leila alikuwa...
2 Reactions
0 Replies
478 Views
Kozi fupi ya historia ya DOLA YA KIPALESTINA: 1. Kabla ya Israel, kulikuwepo na mamlaka ya Waingereza, siyo dola ya Kipalestina. 2. Kabla ya mamlaka ya Waingereza, kulikuwepo Dola ya Ottoman...
0 Reactions
3 Replies
640 Views
Wadau , wakubwa kwa wadogo natangauliza salamu zangu kwenu, natumai mu buheri wa afya . Nadhani wengi wenu mliopita shuleni hususani advanced level mnamkumbuka mwamba mmoja aliyejulikana kama...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
VIJANA WA KAZI KAZINI: ONA STORIES NA HISTORIA YA BIBI TITI MOHAMED Nimealikwa kwenye studio nyingi ndani na nje ya Tanzania kuzungumza na wakati mwingine kwa mahijiano maalum. Kwa kiasi changu...
0 Reactions
0 Replies
432 Views
Mkataba wa Lemera Gazeti la Mwanahalisi la tar. 11 Feb. mwaka 2009, katika Makuu yake yenye kichwa cha habari, Mkataba wa Kuuza Kongo lilijikiu katika anga za Virunga. likiclcza kile kiilichoitwa...
3 Reactions
13 Replies
6K Views
Shikamooni wanaJamiiForum wote. Leo napenda kuwaletea historia ya huyu mwanamama anayeitwa Letti Kidanka sijui ni jina lake halisi au Alikuwa mchawi maarufu sana na pia mtawala huko maeneo ya...
0 Reactions
10 Replies
15K Views
Huyu ni mmoja kati ya makamanda walioongoza vita vya Kagera lakini siyo maarufu ktk vyombo vyetu vya habari, lakini ukisoma VITABU mbalimbali vinavyohusu VITA VYA KAGERA utagundua kwamba alikuwa...
41 Reactions
154 Replies
34K Views
Wakuu, Nimezaliwa katika kizazi hiki cha dotcom na nikaikuta Tanzania ikiwa hai, ndani ya jamii ya nchi yetu hii nikakuta kuna muingiliano mkubwa wenye bashasha miongoni mwa wananchi. Ndani ya...
4 Reactions
67 Replies
92K Views
KITWANA ZANGIRA (ZINGARO) WA BIBI MAMA KITWANA WA MTAA WA MCHIKICHI Hii picha hapo chini inamuonyesha Mwalimu Nyerere ni kutoka katika clip ya documentary ya Bibi Titi. Kulia ni Kitwana Zangira...
1 Reactions
7 Replies
711 Views
♋Ibrahim Traoré amekuwa kiongozi anayevutia vijana wengi barani Afrika kutokana na nafasi yake kama mfano wa mabadiliko ya kimfumo, hususan kwa nchi zinazokumbwa na changamoto za utawala, ukoloni...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Back
Top Bottom