September 7 ya 1996
MGM Grand, USA
Pambano la Ndondi
Tyson v Bruce Seldon
Pambano liliisha ndani ya Sekunde 109
Tyson alishinda.
Wahudhuriaji kibao walikuwepo ma-Celebrities pia
Mfano:
New...
Niaje waungwana.
Leo katika historia ya nchi tunazopeana nazo mpaka, ningependa nikuletee hostoria ya nchi ya Malawi chini ya uongozi wa mwana mapinduzi wa kweli, mwana mageuzi ya uchumi na...
Anaweza kuwa Papa wa kwanza kutembelea zaidi ukanda wa Afrika kabla hajawa Papa. Papa ameishi Nigeria, pia ametembea Congo DRC na Kenya.
Kwa mujibu wa Catholic News Agency, Papa ameshafika...
Kifo cha Thomas Ogle, mvumbuzi wa mfumo wa kipekee wa kutumia mvuke wa mafuta badala ya njia ya kawaida ya kuchoma mafuta kwenye injini (vapor fuel system), kimezungukwa na utata mkubwa na...
Habari za wakati huu ndugu msomaji wa makala zangu za kihistoria, leo katika historia nakuletea watu mashuhuri sana katika historia ya Tanganyika na namna wameitengeneza nafasi yao katika jukwaa...
Mwaka 1982, kijiji cha Lubasazi kilichopo Kata ya Kolero, Wilaya ya Morogoro Vijijini, kilipata msiba mzito. Mzee wa heshima kijijini hapo alifariki. Halikuwa jambo la kawaida watu walianza...
KHITMA YA JUMA MWAPACHU
Ndugu na jamaa leo walikusanyika nyumbani kwa Juma Mwapachu kusoma khitma.
Mtume SAW kifo kinatosha kuwa mawaidha.
Kwangu binafsi kuwa kwenye nyumba ile kulirejesha...
💡 Imepita zaidi ya miaka 112 toka friji la kwanza kugunduliwa Mnamo mwaka 1913 kupitia kwa jamaa mmoja mmarekani anaitwa Fred W Wolf ndo alikua mtu wa kwanza kugundua jokofu la umeme lenye kutoa...
Hii ina ukweli gani wakuu?
ZIWA VICTORIA LIMEWAHI KUKAUKA MAJI YOTE MARA TATU
Ziwa Victoria ni ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya Ziwa kuu la Kaskazini nchini Marekani.
Ziwa hili ambalo...
MIMI NA CHEF PRIDE
Historia yetu sasa nadhani ina kiasi cha miaka 30 na zaidi.
Mgahawa ulikuwa Mosque Street, Zahir Hotel.
Katika miaka ya 1980/90 ndipo kilipokuwa kijiwe chetu cha mazungumzo...
Mwaka 2024 Taifa la Bangladesh liliandika historia mpya kwa kuuondoa Utawala wa dikteta wa dhalimu mwanamke aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo Bi. Sheikh Hasina.
Katika Utawala wa Sheikh Hasina...
Rev. Prof. Charles Nyamiti was born in 1931, among three brothers and four sisters, to Mzee Theophilus Chambi Chambigulu and Mama Helen Nyasolo, (both Late) belonging to the Wanyamwezi of...
PITIO LA KITABU: BARAZA YA MAJESTIC NA MACHINJIONI KWA BAMKWE
Hiki ni kitabu cha nne ambacho nimekifanyia patio katika vitabu ambavyo vinaeleza mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964. Kitabu cha...
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulitokea tarehe 26 Aprili 1964 ukawa mwanzo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hadi tarehe ile kulikuwa na mataifa mawili huru ya Jamhuri ya Tanganyika na...
MAKTABA IMEPOKEA: MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE PHOTOGRAPHIC JOURNEY
Rafiki yangu ndugu Ali Sultan mmoja wa watayarishaji wa kitabu hiki kikubwa cha Mwalimu jana alikuwa Ikulu Dodoma kwa...
Ni Yule Yule tena jamaa wa Tiktok amespot video anasema :
Tupac aliuwawa kwa risasi ambayo katika ulimwengu wa roho ilikuwa imekusudiwa kumuua Biggie.
Twende kazi : 👇👇👇👇
Akizungumza kupitia...
Mwenye kujua kabila hili chimbuko lake ni wapi anijuze mana nimesikia walikuwa na mfalme aliyeitwa Huihui au mfalme Juha! Wanatoka maeneo gani hapa Tanzania. Nahitaji kujua historia yao kidogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.