Kifo cha Adolf Hitler

mchawi wa kusini

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
809
818
Habari Wana JF leo Kama Kawaida Mimi mtu wa Kufuatilia Historia Mbali mbali Twende na Mimi.

KIFO CHA ADOLF HITLER, TAREHE 30/04/1945:

Adolf Schickelgruber, A.K.A Hitler alikuwa mzaliwa wa nchi ya Austria,mwanasiasa mjerumani na chansela dikteta aliyetawala Ujerumani kwanzia mwaka 1933 hadi mwaka 1945(miaka 22).

Huyu mwamba alijiua tarehe kama ya leo,pamoja na mkewe.Alikuwa kiongozi wa chama cha Nazi.

Hitler alipata nafasi ya uongozi katika kipindi kilichokuwa kigumu mno kwa Ujerumani kisiasa na kiuchumi. Aliharakisha kusaini makubaliano ya kazi kati ya nchi yake na nchi za Italia na Japan,lakini lengo lake kubwa ilikuwa ni kupanua wigo,kutawala dunia.Hii ilikuwa ndoto ya Hitler ya muda mrefu sana.

Mwezi Septemba,mwaka 1939 alivamia nchi ya Poland,wakati ambapo nchi nyingi tayari zilidhoofishwa kijeshi kutokana na vita vya kwanza vya dunia. Hatua yake hiyo ililazimu nchi za Uingereza na Ufaransa kutangaza vita na Ujerumani na hivyo kuitumbukiza dunia kabisa katika vita vya pili. Kwa takriban miaka 6,vita hivyo vilisababisha vifo vya watu wengi na kuharibu ardhi,mali na mazingira. Watu milioni 60 walipoteza maisha, ambayo kati yao walikufa wayahudi milioni 6 ambao walifungiwa kwenye kambi na kuchomwa moto wakiwa hai. Kwa Hitler, hii ilitimiza ndoto yake ya kuondoa wayahudi katika uso wa dunia.Aliipa ndoto yake jina la "Final solution",yaani "suluhisho la mwisho."

Mapema tu,mwaka 1923,Hitler aliandika kitabu kilichoitwa "My struggle" ambapo alitabiri vita vya bara Uropa,ambavyo vingeondoa kabisa magugu(wayahudi)wote huko Ujerumani.

Baada ya kujipa mamlaka makubwa sana mwaka 1934,Hitler aliamini na kusema kuwa Wajerumani ni bora(superior)kuliko watu wote duniani,akiapa kuandaa nafasi kwajili ya wajerumani tu.Aliamini kuwa vita vingesaidia sana.

Kati kati ya miaka ya 1930s,alianza kuongeza silaha za kivita na kukiuka mkataba waliosainishana huko Versaille.Mwaka 1938, aliamua kuvamia Austria,kisha Czechoslovakia bila nchi zingine kuingilia uhuni huo.Alipoingia Poland ndo watu wakashtuka, walikuwa wamechelewa. Lengo lake likikuwa ni kufikia Urusi. Katika kipindi hiki, nchi kama Marekani na Urusi hawakutaka kabisa kuingia kwenye vita kutokana na gharama zake.

UWONGO WA HITLER:
Wakati anajiua mwaka 1945, Hitler alivaa medali ya msalaba aliyopewa baada ya vita vya kwanza vya dunia kuisha. Medali hiyo ilikuwa maalum sana kwa Hitler ambaye aliongopea mara kwa mara kwamba yeye alikuwa shujaa wa kijerumani kwenye vita hivyo.Hata hivyo,ilikuja kufahamika kuwa Hitler alikuwa akihudumu ndani ya makao makuu ya kijeshi na hakuwai kuingia vitani.

Ilikuja kufahamika kuwa medali alipewa kutokana na yeye kudumu mda mrefu jeshini,na kutokana na uwezo wake wa kutia motisha na hivyo kupendwa na wanajeshi. Cha ajabu ni kwamba aliyemteua kupewa medali alikuwa ni kamanda wake ambaye alikuwa myahudi Lt . Hugo Gutmann.

Mwamba huyu Adolf Hitler, alijiua kwa kujipiga risasi kwenye handaki ndani ya jumba lao,tarehe 30/04/1945 huko Berlin. Mkewe(kimada) wa muda mchache Eva Braun(mpiga picha na mpenzi wa Hitler), naye alikutwa hapohapo,aliaminika alijiua kwa kunywa sumu inayoitwa cyanide.Pia huenda alinyweshwa sumu na Hitler.

Wote walichomwa moto wa petroli kwenye shamba la jumba lao kulingana na maagizo ya Hitler mwenyewe aliyotoa kabla ya kifo chake.

Adolf Hitler hakuwa na mke hadi siku hiyo ya mwisho.Waliishi masaa 40 tu kabla hawajafa wote na huyo kimada!
 
Ukisoma vitabu kwa kina, hakuna ushahidi wa wazi wa kifo cha Adolf Hitler! Na kama angekuwa amekufa kweli, basi na yeye angedhalilishwa barabarani kama alivyofanyiwa swahiba wake Benito Musolini.

Hitler alitorokea zake Argentina huko na kubadilisha jina, na kuishi maisha yake ya utulivu na bila bughudha yoyote ile. Binafsi ninampongeza sana Hitler kwa kuwashughulikia ipasavyo Mayahudi.
 
Mi nawapenda wayahudi kwa kuwashughulikia wapinga kristo palestina na ww
Ukisoma vitabu kwa kina, hakuna ushahidi wa wazi wa kifo cha Adolf Hitler! Na kama angekuwa amekufa kweli, basi na yeye angedhalilishwa barabarani kama alivyofanyiwa swahiba wake Benito Musolini.

Hitler alitorokea zake Argentina huko na kubadilisha jina, na kuishi maisha yake ya utulivu na bila bughudha yoyote ile. Binafsi ninampongeza sana Hitler kwa kuwashughulikia ipasavyo Mayahudi.
 
Hakuna popote panapoeleza Moja Kwa Moja bila shaka namna ambavyo Hitler alikufa na eneo alipofia na kaburi lake lilipo but kinachoongelewa na kuandikwa ni nadharia tu labda hivi ama vile.
Ni miaka karibu 70+ sasa toka alipopotea mtu huyu wa kutisha. Humu humu duniani wengine humsifu Hitler na kumkumbuka wengine humkumbuka Kwa ubaya kwamba ni mtu mwovu wa kutupwa.
Nb.
Ingetokea Hitler akashinda vita historia Leo ingekua tofauti kabisa . Si ajabu akina Truman, Churchill, na Stalin tungewananga makaburi Yao kama watu wa ovyo.
Mwisho
 
Mimi ni mfuasi wa Adolf Hitler! Kiukweli ingetokea siku nikapata nafasi kama ya kwake, ningehakikisha nawarudisha Mayahudi wote kwenye makambi ya mateso.

Huko ndiko wanakostahili kuishi.
Duh kama zile za Belzec,Sobibor,majdanek,Auschwitz
72-3220.jpg
 
Kuna novel inaitwa The Berkut by Joseph Heywood...kinaelezea siku za mwisho za bwana Hitler... Soviet na Us Intel officers wanatumwa Berlin kumkamata Hitler, kila mmoja anataka awe wa kwanza kumkamata... Hitler anafake his own death na sura yake inakuwa modified a little bit na kuambatana na Intel officer mmoja aliye na mission ya kumtorosha Hitler kupitia milima ya Alps kwenda Uswisi, halafu Argentina...ni novel nzuri na inafikirisha sana kuhusu utata wa kifo cha Hitler...
 
Back
Top Bottom