MBUGA KUBWA YA WANYAMA YA SELOUS
View: https://m.youtube.com/watch?v=sPvEJL1q4Io
Frederick Selous aliyezaliwa 1851 akawasili Cape Town jamhuri ya Africa ya Kusini bandarini akiwa na umri wa miaka 19 tu.
Selous akaapa kwa kutumia bunduki yake atamuangusha tembo mkubwa kuliko wote awake rekodi
Akaamua aingie ndani kaskazini hadi Matebele Land nchi ya mfalne Lobengula ...
Amkaenda kukutana ma Mfalme Lobengula wa nchi ya Matebele kuomba vibali vya kuwinda, ingawa mfalme Lobengula alitia shaka uwezo wa kijana huyu mwenye sura ya kitoto...
Selous akafanikiwa kuwa mwindaji tajwa, na hilo likamvutia mfalme Lobengula kumuweka karibu akitumaini kuwa atamtumia siku za usoni... kama balozi maalum kukabiliana na wazamizi wa kizungu waliokuwa wanatafuta makoloni kutawala ...
1880 akiwa na miaka 29 wanyama kama tembo walikwisha kusini mwa Afrika, Frederick Selous kupitia Cape Town akaamua kurejea nyumbani ...ulaya
Frederick Selous akaamua kuwa mtunzi wa vitabu kuelezea uwindaji wake barani Afrika,
1882 Selous akaamua kurejea tena Cape Town akiwa hana chochote mfukoni, akakutana na tajiri wa madini Cecil Rhodes aliyekuwa na ndoto za kufungua njia kutoka Cape Town hadi Cairo Egypt.
Tajiri Cecil Rhodes akaona kuna kitu ndani ya Frederick Selous kumsaidia kuvungua njia ya nchi kavu Cape Town hadi Cairo Misri kusaidia kuongeza utajiri wa familia ya Cecil Rhodes.
Simulizi za Frederick Selous urafiki wake na mfalme Lobengula wa Matebele Land. Kwa kutumia imani ya mfalme huyo Cecil Rhodes na wakoloni wengine walowezi waanza kuchukua makoloni.
Stori hizi za Frederick Selous pia zilimvutia sana rais wa Marekani mheshimiwa Theodore Roosevelt ikamfanya afika Afrika 1909 awinde wanyama katika mbuga za Afrika ya Mashariki 1909 - 1910
1887 Selous akarudi nyumbani Ulaya akiwa tajiri kutokana na miamala mingi ya fedha aliyolipwa na tajiri Cecil Rhodes kwa kazi ya kumpatia makoloni
1914 vita kuu ya kwanza ikaanza Selous akiwa Ulaya, ambayo mbali ya kupinganwa ulaya ilisambaa pia Afrika ya mashariki kulipokuwepo makoloni ya Wajerumani na Waingereza
Ingawa alikuwa na miaka 63 kiumri akakubaliwa kuingia jeshini asaidie vita Kusini mwa Tanganyika, ambapo sniper wa Jeshi la Ujerumani aliweza kumpiga risasi Frederick Selous akapoteza maisha na kuzikwa katika mbuga kubwa ya wanyama ya Selous iliyopo Tanganyika
Na hadi leo mbuga hiyo inatambulika kama Selous kwa kuwa kati ya mwaka 1887 na 1914 aligeuka kuwa mtetezi wa mazingira na uhai wa wanyamapori.