Sir Charles Njonjo alizaliwa 23 Jan 1920 huko Kabete, Kenya.
Huyu jamaa alikuwa mwanasheria na ameshawahi kutumika kama waziri wa Sheria wa Kenya na ndiye aliyeiuwa jumuiya ya Africa Mashariki...
Kama ulikua humjui vizuri DALAI LAMA wacha nikufahamishe;-
Watu wengi wanaamini kuwa DALAI LAMA ni jina la mtu,
Sasa nikwambie tu kuwa siyo kweli kabisa,
Ukweli ni kwamba neno DALAI...
Ibn Battuta (1304-1377) kwa kiarabu inatamkwa (eebin bahtuta)
Katika kitabu chake Ibin Batuta anaandika kwamba kiswahili ni lugha ambayo inazungumzwa na wakazi asilia wa upwa wa pwani ya Afrika...
Leo tujikumbushe kuhusu Askofu Luwum, aliyemnyima usingizi Dikteta Iddi Amin Dada huko Uganda.
Janani Luwum alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa kidini nchini Uganda, na anaheshimiwa kama...
SANI ABACHA, MBABE WA MAPINDUZI NIGERIA, UTAWALA WAKE ULIGUBIKWA NA UFISADI, MAUAJI,UKATILI NA UKIUKAJI MKUBWA WA HAKI ZA BINADAMU: LAKINI NI KIPINDI CHAKE NIGERIA ILISHUHUDIA MAGEUZI MAKUBWA YA...
October 26, 1979 huko Korea Kusini kulitokea kisa cha ajabu cha mkuu wa ujasusi wa shirika la Korea Kusini(KCIA) Kim Jae-gyu kumtwanga risasi mbili boss wake rais wa Korea Kusin Park Chung-hee na...
Vijana wana vipaji vya ubunifu wa hali juu kupita kiasi.
Kipindi nilichofanya mada ilikuwa nyingine kabisa lakini kipindi kilipokwenda hewani na kutazama picha iliyowekwa hawa vijana niliwavulia...
Unadhani uchumi wa Bara la Africa ungekuaje
Siasa ingekua ya namna gani kutokana na utofauti wa rasilimali, lugha na dini
Je jina gani lingekua sahihi
United States
Of Africa (USAf). Jina linalo...
Wakuu! Wale ambao tulikuwa humu Jamiiforums kipindi cha mwaka 2011 na mitandao ya kijamii ilikuwa haijashika hatamu, I mnalikumbuka hili tukio la huyu Jamaa Mohamed Bouaziz?
Nimeamua kuandika...
Wazito wa JF nawasalimia,
Carlos The Jackal, kwa jina la kuzaliwa anaitwa Ilich Ramirez Sanchez,alizaliwa mwaka 1949 huko Venezuela.
Carlos alizaliwa katika familia inayojiweza kiuchumi,ambapo...
Sarafu hizi zilitumika enzi za utawala wa dola ya rumi,na hasa zilitumika katika malipo ya ngono na ulilipwa tokana na aina ya mtindo uliotumia katika uasherati.Mfano mzuri ukitazama katika movie...
https://youtube.com/shorts/zb2MRW5Grts?si=Dl1G32RSEUXRXMnR
Subhaanallah
This is mind blowing
How awesomely majestic is Allah subhaanahu wa taha'la
Infinitely majestic,
Totally sublime...
NOTE: Nitapitia baadaye kurekebesha typos pole pole; ukikutana nazo usizitilie maanani.
Miaka takriban 45 iliyopita, Iraq ilipitia wakati mgumu sana. Kwanza, mwaka 1979 ulikuwa na matukio mawili...
Mwezi Septemba, 2023 Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alimteua aliyekuwa Rais wa chama cha walimu Leah Ulaya kuwa mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, hata hivyo Leah aligomea uteuzi huo wa...
MAKTABA IMEPOKEA KITABU CHA RAJABU IBRAHIM KIRAMA
Rajabu Ibrahim Kirama ndiye aliyeuingiza Uislam Uchaggani kiasi cha zaidi ya miaka 150 iliyopita.
Katika maajabu ya Allah alipofariki watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.