Jukwaa la Historia

On JF:

https://youtu.be/1okD1oe_Rq4?si=JmVPU1h5PBEGjc10
0 Reactions
1 Replies
206 Views
26 May 2025 Oslo, Norway WADAU WA OSLO FREEDOM FORUM MARIA SARUNGI - "TANZANIA NI YA WANANCHI WAKE SIO YA WATAWALA WANAOWATISHA!" Mtetezi wa haki za binadamu na mwanahabari kutoka Tanzania...
1 Reactions
1 Replies
489 Views
SIRI YA JAHAZI LILILOGEUKA KUWA JIWE-KILWA KISIWANI
3 Reactions
14 Replies
3K Views
GEREZANI DAY 2025 Gerezani ina umuhimu wa pekee katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Katika jambo ambalo sikulitegemea wala kutarajia ni siku Salum Matimbwa aliponirushia ukurasa...
1 Reactions
2 Replies
500 Views
https://youtu.be/uz1-24Byc6c?si=pbOQLsmL7XrCFiht
2 Reactions
0 Replies
237 Views
Walisema sisi ni washamba. Tukaacha ngozi zetu, tukavaa suti. Tukaacha ngoma, tukavaa saxophone. Tukaacha majina yetu, tukaitwa Yohana wa Pili. Ajabu leo Wamasai, Wahamer, na BaTwa waliobaki...
14 Reactions
64 Replies
2K Views
MAKTABA IMEFIWA: AL FATAH ONLINE TV IMEFIKA KUFANYA KIPINDI CHA TAAZIA YA MOHAMMED ABDULRAHMAN Jana kutwa nzima napokea simu na msg za pole kisha kuulizwa mbona sijaandika taazia ya msiba wa...
0 Reactions
13 Replies
620 Views
MAKTABA NA VIPANDE VYA MUZIKI WA ENZI HIZO Huwa haipiti muda hungia katika mitaa ya Maktaba kujikumbusha hiki na kile. Leo nimekutana na mswada wa kitabu nilichoandika na Ally Sykes kuhusu maisha...
1 Reactions
0 Replies
410 Views
https://youtu.be/msgve8ZwfHE?si=U_4RF703Qpe3nSpU Ally Sykes ndiye aliyechora kadi ya TANU na kuchagua rangi na nembo yake. Rangi alizochagua zilikuwa, nyeusi kuwakilisha taifa la Kiafrika na...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
History ya mtu huandikwa na watu wengine, kile tunachoandika sisi kuhusu maisha yetu kinaitwa memory (kumbukumbu). Je watu wameandika na kuandika history Gani kukuhusu wewe iwe mioyoni mwao au...
1 Reactions
2 Replies
259 Views
Muhammad Ali alizaliwa tarehe 17 Januari 1942 huko Louisville, Kentucky, Marekani, akiwa amepewa jina la Cassius Marcellus Clay Jr. Alizaliwa katika familia ya Kiafrika-Amerika, na tangu akiwa...
4 Reactions
3 Replies
479 Views
Muhammad Ali alizaliwa tarehe 17 Januari 1942 huko Louisville, Kentucky, Marekani, akiwa amepewa jina la Cassius Marcellus Clay Jr. Alizaliwa katika familia ya Kiafrika-Amerika, na tangu akiwa...
1 Reactions
1 Replies
246 Views
Kumekuwepo maswali ya watu wengi wakitaka kujua ASILI ya JINA la TANGANYIKA. Ili kuweza kuhakikisha mjadala unakuwa endelevu na msomaji anapata majibu sahihi, tumeonelea ni vema kuweka mjadala...
2 Reactions
154 Replies
76K Views
Ndugu wana JF na watanzania wote mliopo humu poleni na majukumu hasa ya kulijenga Taifa, naomba kuuliza maswali yafuatayo: 1/Je chanzo cha jina Tanganyika ni nini? 2/Je mgunduzi wa kwanza wa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna wakati huoni hata Faida ya kuishi. Hasa pale unapo kutana na jamii ya watu ambao wanadhani wameletwa katika huu ulimwengu ili kuumiliki milele........ Niliwahi kuwaambia hakuna binaadam...
3 Reactions
17 Replies
847 Views
Katika watu wanaotajwa kuchangia pakubwa kwenye mapinduzi ya Zanzibar ya January 12,1964 ni John Okello kutoka Uganda akiwa Kijana wa umri mdogo wa miaka 29. Yeye pamoja na wanamaponduzi wenzie...
3 Reactions
89 Replies
5K Views
Nimekuwa na kawaida siku hizi kuwa ninaposoma Makala ya historia basi huenda kwenye kazi zangu zilizopita na kuangalia nini nimeandika. Ndugu yangu Abdulkarim Ally ameandika makala (haipo hapa)...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Abdullah al-Faisal (alizaliwa kama Trevor William Forrest) Asili: Alizaliwa mwaka 1963 huko St. James, Jamaica. Alisilimu akiwa na umri wa miaka 16, na kuchukua jina la Kiislamu: Sheikh Abdullah...
3 Reactions
8 Replies
558 Views
Leo Maktaba imetembelewa na TBC1 kufanya kipindi kuadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani. Mtangazaji wa TBC1 Hilda Sengoli alitaka tuzungumze mchango wa Kiswahili katika kuwaunganisha Watanganyika...
3 Reactions
13 Replies
766 Views
Back
Top Bottom