Hii video clip nilipokuwa naisikiliza mwili ulikuwa unanisisimka, nikakumbuka utoto miaka ya mwanzo ya 60 pale kwetu Lumumba na wazee niliokua nawaona pale wakija ofisi ya TANU na Nyerere akiwemo...
NAMKUMBUKA PROF. KIGHOMA MALIMA
Siku kama ya leo tarehe 5 August 1995 mida ya kama saa nne asubuhi mpwa wangu akitokea Makao Makuu ya NRA Kariakoo alinifahamisha kuwa Prof. Malima amefariki mjini...
Kabla ya yote napendakuwashukuru wote wazee wote waliotoa mchango wao wa mawazo, pia namshukuru mzee mkare MNyigana kwa kutumia mda wake mwingi kuandika hili chapisho
Kabila la wangoreme...
Hili lipo Historically, tunaambiwa huyu mdau (mgunduzi) alitumia mbinu za kutumia vioo na mwanga wa jua (kama vile lense inavyoweka kuchoma karatasi) na kuunguza Meli zilikuwa zinavamia..., Je...
🕊️ JARIBIO LA KUMUUA PAPA JOHN PAUL II: RISASI KATIKA UWANJA WA ST. PETER 🔫✝️
Mei 13, 1981 — dunia iliganda. Risasi zilirindima katika Uwanja wa Mtakatifu Petro. Papa John Paul II, kiongozi...
Ziwa Natron, lililoko kaskazini mwa Tanzania, ni mojawapo ya mazingira magumu zaidi duniani. Maji yake yana pH ya juu hadi 10.5 na yanaweza kufikia joto zaidi ya 60 ° C. Ukali wa ziwa hilo...
Abdallah Tambaza, Nairobi 1972
ASALAMAALEKUM mpendwa msomaji wa Shajara ya Mwana Mzizima. Juma lilopita tulimwangalia shujaa wa ukombozi wa taifa letu, hayati Dossa Azizi, ambaye ametufanyia...
BIBI TITI MOHAMMED SALUM MANDANGWA
Shujaa Aliyeibeba TANU, Akasalitiwa na Taifa
Na MALEKOGJ
“Wanawake amkeni! Tokeni majumbani tupambane pamoja na wanaume mpaka uhuru upatikane... Msiogope!”
—...
Sehemu ya kwanza.
Kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar,Tanzania ilikuwa ikujulikana kama Tanganyika.
Tanzania ni moja kati ya nchi kadhaa duniani zenye kuhifadhi wakimbizi na kundi kubwa...
In the film ''Kagera War,'' produced by Tanzania Film Company (TFC) made soon after the defeat of Idd Amin of Uganda, there is a scene in which Mwalimu Nyerere is shown with John Walden at the...
Mtu Aliyetawala Biashara ya Dawa za Kulevya...
Alilelewa huko Mombasa na wazazi wa kiPakistani, akianza kama mjasiriamali halali, akiendesha kampuni ya usafirishaji Akasha Transporters, ikiingiza...
Kutoka kwa mwanajamiforums Shwari ambaye aliweka nakala ya kitabu chenye kuelezea mikasa ya hawa wapigania uhuru na harakati za ukombozi wa Africa.
Nkrumah alihisi kuwa alikuwa amemtumia Sekou...
USIKU WA NGUGI WA THIONG'O ALLIANCE FRANCAISE
Leo wachapaji vitabu mashuhuri Mkuki na Nyota walimwadhimisha nguli wa manguli katika fasihi ya Afrika Ngugi wa Thiong'o katika Ukumbi wa Alliace...
Mnamo miaka ya 1970s , wanafunzi wa UDSM waliandamana Dar es salaam International Airport kupinga siasa za ukoloni wa Kifaransa .
Maandamano hayo yalikuwa dhidi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa...
Hawa askari kama baadhi wapo, najua wamezeeka sasa, hawana nguvu tena na wanajutia hadi mwisho wa maisha yao hapa duniani.
Inawezekana kutokana na tamaa za mali, kujipendekeza kwa wakubwa...
Takwimu kutoka kamisheni ya haki za binadamu Tanzania inaonesha kuwa kati ya watu 2,478 waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kufikia mwaka 2010, ni watu 232 waliotekelezewa hukumu hiyo ambayo ni sawa...
TAAZIA: NINAVYOMKUMBUKA MZEE MUSTAFA SONGAMBELE (1925 – 2025)
Mzee Mustafa Songambele Katika Uzinduzi wa Nyumba ya Kumbukumbu ya Julius Nyerere
Juma hili ajabu sana ubongo wangu umekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.