Wakorea wana historia yao toka mwanzo wataifa lao kuwepo kipindi cha devine Jumong, wazungu hivyo hivyo wana story zao, mbona sisi Waafrika hatuna hadithi zetu za mwanzo, au baada wa wazungu...
Julius Kambarage Nyerere alikuwa Mwanasiasa na Mwanafalsafa ambaye alikuwa kiongozi wa kwanza wa Tanganyika (sasa Tanzania) na rais wa kwanza wa nchi hiyo baada ya uhuru. Alikuwa mtetezi wa uhuru...
https://www.instagram.com/reel/DLVrV_LKwvP/?igsh=ZjFkYzMzMDQzZg==
Nimeangalia hii Makinikia aliyoweka Muhidin Issa Michuzi.
Nimemwona Jomo Kenyatta na Julius Nyerere kwenye Land Rover wakienda...
MAREKANI IMETENGENEZA MPANGO WA KUMALIZA VITA VYA IRAN NA ISRAEL
Baada ya saa 24 In Shaa Allah vita baina ya Iran na Israel In Shaa Allah vita kuwa vimemalizika.
Vita vimedumu kwa siku 12.
Hizi...
Kwanza kabisa inabidi tukumbushane Msemo mmoja; One man's Terrorist is another man's Freedom Fighter" Kwa muktadha huo tunaweza kusema huenda ugaidi ulianza tangia enzi na enzi, ikiwa tu mtu...
Naomba kuwasilisha kazi yangu kwa ajili ya mashindano ya 'Stories of Change'. Hadithi hii imejengwa kwenye msingi wa matumaini, mapambano na ubunifu wa vijana wa Tanzania.
---
“They called me...
Kutokana na mabadiliko ya maisha pamoja na utandawazi Mila na desturi hasa majina ya asili ya kitanzania yanazidi kupotea! nimeona ni vizur kuanzisha Uzi huu ili tuweke kumbukumbu vizuri za Maana...
Kwa yanayoendelea Congo nimebaini kuwa vita zina propaganda nyingi sana. Kwenye historia ya Idd Amina tumeambiwa kwamba Iddi Amin akiwa Rais aliwahi kufokewa na mlemavu kwamba ameshindwa kuiongoza...
Leo nimeona niwaletee machache kuhusu Jenerali Robert Mboma, aliyepata kuwa Mkuu wa Majeshi wa Tanzania miaka ya nyuma huku akiwa na rekodi mbalimbali. Twende kazi…
1. Jenerali Robert Mboma...
LEO SIKU YA KUZALIWA SIJALI ADAM SIJAONA
Rafiki yangu Sijali Adam Lawi Nangwanda Sijaona kaniletea ukurasa mmoja wa shajara ya baba yake marehemu Mzee Lawi Nangwanda Sijaona ambayo aliandika...
Mnamo mwaka 1953, serikali za Amerika na Uingereza zilipanga mapinduzi nchini Iran, na kumpindua Waziri Mkuu aliyechaguliwa kidemokrasia Mohammad Mossadegh. Hatua hii, inayojulikana kama...
UNAWAFAMU VIPI WAIRANI?
Vita vya Iran na Israel vimevuruga ratiba yangu ya kazi kwani muda wangu mwingi unakuwa katika kufuatilia vita hivi katika vyombo vya habari mashuhuri ulimwenguni – Al...
HAPA ndipo chimbuko la wazungu na baadhi ya waarabu, nchi ya Georgia, panaitwa CAUCASIA , milima Yao Inaitwa Caucasus mountains.
Bahari Yao Inaitwa Black Sea, haisapoti hata samaki... Ina...
Habari zenu wanajamii forums. Mimi ni mtanzania ambaye haishi Tanzania kwa zaidi ya miaka ishorini. Pamoja na kuishi nje ya Tanzania kwa mda mrefu hakuna siku ipitayo bila kutafuta habari za...
Hi there, I'm bored at here ukijumuisha na matukio yanayoendele kwa viongozi wa serekali yetu nikaona nishee nanyi baadhi ya vita vilivyoanzishwa na na viongozi wa nchi ambapo ukifikiria sababu za...
Si mwingine bali ni mtu mfupi wa kimo bali mrefu wa maarifa na kuona mbali kuhusu kesho ya taifa lake Deng Xiaoping
Mkomunisti na dikteta bora wa kichina aliye iokoa chini yake kutumbukia...
Hivi Gen Z mnajua kweli historia ya huu mnara? Kitu kilichonipa ushawishi wa kutaka kukua zaidi ni hili neno 'Bismini'. Maana yake ni nini? Na chimbuko lake ni nini? Nimejaribu kutafuta lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.