Jukwaa la Historia

On JF:

Bila shaka humu jamvini kuna wabobevu wa historia na km hivyo ndivyo binafsi napata mkanganyiko sana hasa tunapozungumzia biashara ya watumwa yaani naona biashara hii inahusiana sana na afrika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza na isiyotarajiwa,mwandishi mbobevu wa historia ahmed rajabu ameshindwa kutoa matin yeyote ambayo inatoa ushahidi wa ye kukutana na Abdallah K.Hanga mpishi wa mapinduzi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
DR. HARITH GHASSANY AELEZA USAHIHI WA UTAFITI WA KITABU CHAKE: "KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU" Tanbihi ya Tanbihi: Kumbukumbu, Kusahau, na Zanzibar Mpya Na Harith Ghassany Madhumuni ya...
2 Reactions
9 Replies
7K Views
Ndugu zangu wanaJukwaa La Historia nianze kwa kupongeza juhudi tukufu za mheshimiwa Kichuguu kwa kuanzisha hoja ya kuundwa kwa jukwaa hili na wale wote waliochangia na kuunga mkono hoja (siwezi...
5 Reactions
37 Replies
19K Views
jukwaa la historia litabaki kuwa jukwaa pendwa kwangu japo siku za karibuni limekuwa kimya mno... bado mengi hayajaandikwa tuifanye hai historia............... Sikuja kuandika juu ya kuzaliwa...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Nashuhudia nia za urais ndani ya chama cha mapinduzi zikitangazwa kwa mbwembwe za aina yake.Lowassa, Wasira, Mwigulu n.k na wengine wengi ambao bado wanatarajia kutangaza nia. Naziita mbwembwe kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanahistoria wa JF.Nilipata kusikia kuwa jengo la kituo cha Police kilichopo mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam hapo mwanzo kabla halijajengwa hilo kituo kilikuwepo mtaa huo huo wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni nani walimuua Abdul Massoud yule mtangazaji wa RTD kipindi cha michezo miaka ya 80? Nasikia wauaji wake walimfuata nyumbani kwake wakampiga risasi bila kuchukua kitu chochote, aliuliwa kwa kisa...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
TARIFA YA KIFO MOHAMED OMARI MKWAWA Mohamed Omari Mkwawa Akiwa Amekishika Kitabu: "Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru," kitabu kilichoandikwa na Dr. Harith Ghassany Mzee Mohamed Omari Mkwawa au kwa...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
B.bukuku alivyomwimbia lowassa bavicha walikuja juu hata kumtusi na kumdhalilisha mtumishi mungu,vipi leo flora kumwimbia mdee?? Tunataka mje na majibu hapa bavicha
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Serikali ya Tanzania haina ubunifu kwa sasa wanachukua mikopo kwenye bank zetu na mashikika ya kijamii kama NSSF kwa 16% wakati serikali nyingine duniani zinakopa kwa 2%-3%. Kitendo cha serikali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kitabu kizuri sana kwa historia na athali za mabadiliko ya kimfumo.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Utangulizi Baada ya kupokea picha hii kutoka katika nyaraka na picha alizoacha marehemu Ali Msham picha ambazo alinipatia mwanae Abdulrahman Ali Msham na kwa kuzingatia pia kabla sijapatapo...
9 Reactions
45 Replies
17K Views
OXFORD UNIVERSITY PRESS (OUP) WATOA TOLEO LA PILI LA "THE TORCH ON KILIMANJARO" Toleo Jipya la Pili (2015) Toleo la Kwanza (2007) Kitabu hiki kilikuwa katika mradi wa Oxford...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), Nicolaus Mgaya., amemsifia rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa katika awamu yake ya uongozi unaokaribia miaka kumi sasa amaetatua kero...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani kumbe Wahehe wa Iringa ndio hawa Walugulu wa pale Morogoro?! Yaani bila kuwepo Wahehe basi Walugulu wasingekuwepo daima. Picha kamili ipo hivi; Wakati wa Utawala wa Mjerumani pale...
2 Reactions
20 Replies
10K Views
Wana Jf, Je? Nikweli mwanamapinduzi wa Kikuba (Ki-Cuba) mwenye asili ya Argentina, Ernesto Che Guevara amewahi kuzuru Tanzania zaidi ya mara moja na je? Lengo lilikuwa ni nini?
3 Reactions
59 Replies
25K Views
Baada ya kupitia historia ya Oscar Kambona, kuna sehemu amekiri kuwa hawa watatu hawakuwa Raia wa Tanzania.Hii ilitokana na Nyerere pia kudai kuwa Kambona hakuwa raia, sasa wanahistoria ukweli uko...
1 Reactions
27 Replies
8K Views
Che Guevara alifika Congo kusaidia harkati za kupambana na ukoloni mambo Leo,alikaa kwa miezi 7 ,akagundua kuwa viongozi aloshirikiana Nao hawakuwa mwamko wa kisiasa hali iliopelekea che akaondoka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Je Ni kweli waislam waliupinga Uhuru kwa mujibu wa mashekhe hawa;- Abdillah Schneider Plantan, Sheikh Abdulkarim Abdulwahid, Maalim Popo Saleh, Suleiman Masudi Mnonji, Ali Migeyo, Mufti Sheikh...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom