Huyu shekh Mussa Al Bique alikuwa mmoja katika machifu au viongozi katika eneo la Kilwa Kisiwani mkoani Lindi kabla ya kuondolewa na Sultan Ali Hasan bin Suleiman na kukimbilia...
Salaaaaam kwenu wote jukwaaani"
Ninapotafakari hili suala kwa kweli huwa nakosa majibu maridhawa Waarabu`wajerumani na waingereza hawa wote kwa nyakati tofauti walikuja kuchukua mali na...
Katika maktaba leo tuna picha ya kumbukumbu ya uzinduzi wa soko kuu la Kariakoo la jijini Dar es salaam kulikofanywa na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Baba wa Taifa Mwl...
Wanaukumbi,
Naweka hapa vipande kutoka Dictionary of African Biography (DAB) ambao ni mkusanyo kwa njia ya maandishi ya Waafrika walioacha alama katika maendeleo ya bara hili. Huu ulikuwa mradi wa...
Mwaka 1896 serikali ya Zanzibar iliingia vitani na ile ya Uingereza. Vita hii iliisha baada ya dakika 38. Waliokufa au kujeruhiwa vibaya kwa Wazenj walikuwa 500 huku Waingereza wakijeruhiwa askari...
kwanza heshima kwenu wakubwa na vijana wenzangu,
kuna habari za kihistoria niwewahi kuzisikia lakini sikupata historia hiyo kwa kina na nimeona hapa kuna wenye uelewa mpana wa mambo yetu ya...
Nadhani kila mwanaJF anaifaham historia ya nguli wa siasa nchini tanzania,baba wa taifa,hayati mwalimu Nyerere.Ndugu ulishawahi kusikia kuwa hayati mwalimu alishawahi kuishi na wake wawili tu...
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=HhhuTRuX5Bg&x-yt-ts=1421914688&x-yt-cl=84503534
KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI - AZAM TV - Mohamed Said
Habari Wakuu?
Kwanza kabla ya yote napenda kutoa chuki zangu za dhati kwa Raisi Kikwete kutokana na hotuba yake mbovu mbovu aliyoitoa juu ya Sakata la Escrow.
Binafsi nimeona matundu mengi "...
1). Mtwa Mkwawa hakuwa mhehe na wala hakuwa mtoto wa Mnyigumba (kama historia iliyoandikwa na Wajerumani inavyopotosha); bali Mkwawa alikuwa ni mtoto wa dada wa Mnyigumba aliyeolewa na mtemi wa...
Mimi ni mwanachama wa CDM mwenye kadi no. CDM 0545314 iliyotolewa tawi la chuo kikuu cha Tumaini(SMMUCo) moshi-2011.
Toka mwaka huo mpaka leo nimeshindwa kulipia ada ya uanachama kwa kuwa nakosa...
MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CCM -:
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Jana tarehe 13/01/2015 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake wa Taifa Dr. Jakaya Mrisho...
Wakati majuzi Mh. Rais JK akijimung`unya mdomo na kujidai ana kikohozi hadi kunywa maji wakati akijitayarisha kumfuta uwaziri Mh. Prof. Anna Tibaijuka, Rais mwenzie Mzee Julius Nyerere alimfuta...
Alijenga viwanda katika kila mkoa hapa Tanzania
Mwatex
Mara Milk
KOIL Mwanza
Sunguratex
ZZK MBEYA
Machine tools Moshi
Arusha General Tyre
Kilitex
EMKO Soap
Maries Biscuits
Peremende
Ongezeeni...
KHITMA YA SHEIKH ALI MZEE COMORIAN MSIKITI NGAZIJA 1ST JANUARI 2015
Written By Mohamed Said on Thursday, January 1, 2015 | 9:51 AM
Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Al Habib Omar bin Ahmed...
KASHIFA YA WATERGATE (WATERGATE SCANDAL)
Wakati kashifa hii inagonga vichwa vya habari katika vyombovya habari duniani miaka ya sabini hapabongo sisi tulikuwa tunaisoma sana katika gazeti la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.