Jukwaa la Historia

On JF:

Prof. Ibrahim Noor ana haya hapo chini ya kueleza kuhusu Badawi Qulatein: Nimepokea makala hii kutoka kwa Prof. Ibrahim Noor na kwa ajili ya umuhimu wake nimeona niiweke hapa kwa faida ya wote...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kenya, Tanzania na Uganda zilikuwa zikishirikiana tangu karne ya 20. Bandari ya Mombasa ilifanya Kenya na Uganda kuungana tangia 1917, ambapo nchi iliyokuwa Tanganyika kipind hicho ilijiunga na...
4 Reactions
4 Replies
7K Views
Wananchi wenzangu hz tozo mpya za modi mpya za simu mmeziona lakn
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Malkia Anna Nzinga alizaliwa 1583 na alifariki December 17, 1663, pia alijulikana kwa jina la Njinga Mbande au Ana De Sousa Nzinga Mbande alikuwa malkia wa karne ya 17 wa Ufalme wa Ndongo na...
5 Reactions
4 Replies
4K Views
Kesi ya Lissu itaigia kwenye historia kwa polisi kwenda mahakama kuu kupinga dhamana ya mtu aliyeshitakiwa na jamuhuri. Kwa mjibu wa Uhuru la jana na Tanzania Daima la leo polisi wanajiandaa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Masultani wa Zanzibar waliitawala Zanzibar iliyojulikana kama "Sultanate of Zanzibar" rasmi tangu mwaka 1856. Sultani wa Oman, Said bin Sultan, aliitawala Zanzibar kutoka Oman, tangu 1804. Kabla...
2 Reactions
4 Replies
11K Views
Prof Shivji enzi zake UDSM..Akipinga ubeberu dhidi ya nchi za Afrika
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Wasalaam waungwana!nawasalimu katika Upendo na Amani. Ndugu zangu Mwl.Nyerere alitufundisha na kutuusia juu ya mstakabali wa taifa letu tukiwa kama nchi changa na maskini kuwa ilituendelee...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukitaka, Kunyonga Jamii, Kwamba wanawezaje Kuendeleza Maisha, Uvumbuzi na Elimu na Utamaduni wao? Basi Haribu historia yao. Bila Kujua Historia, Bila Kujua tulikuwa Kina nani, na tulifanya...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
HISTORIA YA JOMO KENYATTA NA ABDULWAHID SYKES 1950 Utangulizi Leo nilipokuwa nikipitia gazeti la Mwananchi (Jumanne Aprili 5, 2016) nilikuta kipande hicho hapo chini kuhusu Jomo Kenyatta: Si...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Salaamu Wanabodi! Sote tunawajua wakinga kwa kuwaona tu katika biashara zao! Hawa watu wanafanikiwa sana kibiashara kwa sasa,Ukienda kariakoo wamejaa wao,Mwanjelwa wamejaa wao na kwa sasa ndio...
1 Reactions
2 Replies
22K Views
Sio muda mrefu familia hii itakua kwenye kitabu cha record za dunia, haijawahi kutokea kwa mume na mke kushika nafasi za urais wa nchini Marekani.
5 Reactions
96 Replies
8K Views
Musham Mzanda 7 hrs · KATIBA TULIYONAYO IKITEKELEZWA KWA 100% RAIS WETU ATALAUMIWA KUWA DICTATOR. . KUMBUKENI KATIBA HII ALIITUMUA BABA WA TAIFA KUWAWEKA DETENTION WAHAINI NA MAFISADI WENGINE BILA...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Marxism–Leninism ni mfumo wa siasa au uliojulikana duniani kama Marxism na Leninism, lengo lilikua kuanzisha serikali za kijamaa na kuziendeleza zaidi. Marxist–Leninists walihodhi mfumo huu na...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Julius Kambarage Nyerere alizaliwa tarehe 13 April 1922 na alifariki tarehe 14 October 1999, alikuwa rais wa Tanzania alieongonza nchi ambayo ilijulikana kama Tanganyika kabla. 1964 Tanganyika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika Kuhakikisha anatokomeza Uchifu hapa nchini, Mwalimu Nyerere aliwaza kuwapa madaraka mengine makubwa zaidi Serikalini. Katika Kuhakikisha anafanikiwa aliwataka machifu wakagombee Ubunge...
2 Reactions
14 Replies
7K Views
Tarehe 04 July kwa Wamarekani ni siku ya kusheherekea uhuru wa nchi hiyo na siku hii ni ya mapumziko. Miaka 240 iliyopita 1776 tarehe 4 July Congress ilitangaza Uhuru wa makoloni 13 ya Marekani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
VUGUVUGU HILI LA KUTAKA DEMOCRACY IACHWE KUKANDAMIZWA SIO KWA TUNDU LISSU WA CHADEMA AU ZITTO KABWE WA ACT-WAZALENDO TU HATA KIPINDI CHA UKOLONI NYERERE...
1 Reactions
2 Replies
981 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…