Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,792
- 31,804
Unakusudia nini mzee?
Nyenyere,Unakusudia nini mzee?
Labda ni vema kwanza tukafahamu asili ya hao masultani, na pia walifikaje Zanzibar.Nyenyere,
Makusudio yangu ni kufungua mjadala kupata undani wa uongozi wa masultani wa
Zanzibar endapo katika utawala wao walipata kunyanyasa raia.
Nyenyere,Labda ni vema kwanza tukafahamu asili ya hao masultani, na pia walifikaje Zanzibar.
Sultan JechaUmemsahau sultan shein
Nimecheka sana usultani wa JechaSultan Jecha
Jecha hatari sana yule mtuNimecheka sana usultani wa Jecha
Nilikuwa namwona mpole asiye Na makuu kumbee ni motoUmemsahau sultan shein
Sana kwakweliiJecha hatari sana yule mtu
Ngoja tuone hiyo jumapili sultan Jecha atasemajeSana kwakwelii
Kwanini wengi walitawala muda mfupi sana? nini kiliwatokea?Nyenyere,
Makusudio yangu ni kufungua mjadala kupata undani wa uongozi wa masultani wa
Zanzibar endapo katika utawala wao walipata kunyanyasa raia.
Hachelewi kufuta hata uchaguzi nini matokeo..... Chezea Sultan JechaNgoja tuone hiyo jumapili sultan Jecha atasemaje
Hahaha Sultan Jecha kiboko, ukijitangaza kuwa wewe ni mshindi tu. Matokeo yanafutwaHachelewi kufuta hata uchaguzi nini matokeo..... Chezea Sultan Jecha
Akiona mambo sio tu anafutaaaaaaaHahaha Sultan Jecha kiboko, ukijitangaza kuwa wewe ni mshindi tu. Matokeo yanafutwa