MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Jul 26, 2012 21,033 64,844 Feb 27, 2016 #2 Hakuna Utawala mbaya sana duniani kama wa Kisultani hauna tofauti sana na Upapa wa Vatican. Its all about control and power; HAKUNA UZALENDO HAPO.
Hakuna Utawala mbaya sana duniani kama wa Kisultani hauna tofauti sana na Upapa wa Vatican. Its all about control and power; HAKUNA UZALENDO HAPO.
Mohamed Said JF-Expert Member Nov 2, 2008 21,796 31,809 Feb 27, 2016 Thread starter #3 MALCOM LUMUMBA said: Hakuna Utawala mbaya sana duniani kama wa Kisultani hauna tofauti sana na Upapa wa Vatican. Its all about control and power; HAKUNA UZALENDO HAPO. Click to expand... Malcom, Masultani waliondoka Zanzibar mikono yao haina damu. Soma historia ya wanamapinduzi wa Zanzibar ujue ukweli: Mohamed Said: KABLA YA MAZOMBIE KULIKUWA NA AKINA KAUJORE: MWANAMAPINDUZI ALIYEUA WATU MSIKITINI Mohamed Said: AMAN THANI ANAMWELEZA MANDERA NA MATESO YA KUNG'OA KUCHA 9 Malcom, Nitashukuru sana baada ya kupita hapo juu ukarudi Majlis kutoa maoni yako.
MALCOM LUMUMBA said: Hakuna Utawala mbaya sana duniani kama wa Kisultani hauna tofauti sana na Upapa wa Vatican. Its all about control and power; HAKUNA UZALENDO HAPO. Click to expand... Malcom, Masultani waliondoka Zanzibar mikono yao haina damu. Soma historia ya wanamapinduzi wa Zanzibar ujue ukweli: Mohamed Said: KABLA YA MAZOMBIE KULIKUWA NA AKINA KAUJORE: MWANAMAPINDUZI ALIYEUA WATU MSIKITINI Mohamed Said: AMAN THANI ANAMWELEZA MANDERA NA MATESO YA KUNG'OA KUCHA 9 Malcom, Nitashukuru sana baada ya kupita hapo juu ukarudi Majlis kutoa maoni yako.